Car4Sale Vitz new model kwa bei ya boss mwenyewe

Car4Sale Vitz new model kwa bei ya boss mwenyewe

Hiyo gari kama vile boss wako alihongwa na yule aliyekua mkurugenzi wa rasilimali watu BoT, marehemu Amatus
 
Vitz new model in good condition

Bei yake 6million (njoo na laki 2 ya dalali)

x'tics
cc 1290
mileage: 100,000kms
piston 3
haijawahi pata ajali
LOCATION: Lugalo, Dar es salaam
mawasiliano 0713096076 tumalize kazi

View attachment 2012652View attachment 2012653View attachment 2012654View attachment 2012655View attachment 2012656View attachment 2012657View attachment 2012658View attachment 2012659View attachment 2012660View attachment 2012661
Hii rangi ya gari ni kikwazo katika biashara.
 
Back
Top Bottom