zipalapwata
JF-Expert Member
- Oct 19, 2016
- 290
- 156
Kwamtazamo wangu,Plan nikununuwa used hata ikiwa namba c cyo mbaya
Mkuu niwekee picha yake maana mm pia nipo ktk mchakato huu,japo nilitaka Passo nikashauriwa siyo ngumu,wazo limehamia kwa starlet ama vits,japo zote naona km nafasi ndogo ndani mbananoKwamtazamo wangu,
Vits RS ni nzuri zaidi kimuonekano ja hata safari ndefu kidogo.
Bei itachangamka pia kidogo.
Vits RS kumbe unaweza piga no masafa eeeh?Kwamtazamo wangu,
Vits RS ni nzuri zaidi kimuonekano ja hata safari ndefu kidogo.
Bei itachangamka pia kidogo.
Vits RS kumbe unaweza piga no masafa eeeh?
Hii vits rs inatumia lita 1 kwa km ngapiKwamtazamo wangu,
Vits RS ni nzuri zaidi kimuonekano ja hata safari ndefu kidogo.
Bei itachangamka pia kidogo.
Hii vits rs inatumia lita 1 kwa km ngapi
Vipi mafuta lita 1 kwa km ngapi hii
Chukua vitz ina nafasi kuliko hata IST,achana na starlet kamebanana sanaNina visent kidogo nataka ninunue gar but machaguo yang ni vitz na Starlet but kwa mwenye uzoefu na hizo gar anisaidie ipi ni bora