Vitz or starlet

Vitz or starlet

zipalapwata

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Posts
290
Reaction score
156
Nina visent kidogo nataka ninunue gar but machaguo yang ni vitz na Starlet but kwa mwenye uzoefu na hizo gar anisaidie ipi ni bora
 
Bugdet yako kwanza ni bei gani?
Kuna vits rs inaenda hadi 9M na points huko ni kama vile ist tu,
Hivyo ni muhimu kujua umejipanga vipi kwanza then ushauri ufuatie
 
Kwamtazamo wangu,
Vits RS ni nzuri zaidi kimuonekano ja hata safari ndefu kidogo.
Bei itachangamka pia kidogo.
Mkuu niwekee picha yake maana mm pia nipo ktk mchakato huu,japo nilitaka Passo nikashauriwa siyo ngumu,wazo limehamia kwa starlet ama vits,japo zote naona km nafasi ndogo ndani mbanano
 
Vits RS
FB_IMG_1558975570118.jpeg
FB_IMG_1558975588127.jpeg
 
Kwamtazamo wangu,
Vits RS ni nzuri zaidi kimuonekano ja hata safari ndefu kidogo.
Bei itachangamka pia kidogo.
Hii vits rs inatumia lita 1 kwa km ngapi
 
Nina visent kidogo nataka ninunue gar but machaguo yang ni vitz na Starlet but kwa mwenye uzoefu na hizo gar anisaidie ipi ni bora
Chukua vitz ina nafasi kuliko hata IST,achana na starlet kamebanana sana
 
Back
Top Bottom