Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Similiki ata baiskeliHivi unaweza kukuta hapo ulipo hata kipimo sahihi cha umasikini/cha kumuita mtu masikini, hukijui!!
Au inawezekana kwa akili yako fupi ukimiliki kagari ka kuukuu kama hako, ndiyo unajiona tajiri eti!!! [emoji2]
Kwa huo mkweche ndo unajikuta tajiri
Gari nzuri tatizo unamlazimisha mnunuzi kuwa mwanachama mtiifu japo hataguswa na traffic police njiani hata akosee vipiVitz engine ya IST
Gari kali sana
Rim sport
Inataka 3.9
Safari popote
Nipo nayo Kibaha
0744757738.
0744757738
View attachment 2743230View attachment 2743231
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Labda inauzwa kwa kundi fulani siyo kila mtu anaruhusiwa kununuaYani vitz namba B tena rangi ya kijani unauza 3.9m?
kama kipande cha parachichiHiyo rangi duh
Tatizo muuzaji naye alipofanikiwa tu kuuza hiyo gari, amerudi kwa spidi ya 5G kutuchamba!! 😃hizi ndo threads nazikubali watu wanachambana na gari imeshauzwa
naona kashakula pesa ya udalali gari ya 2m kamkamata mtu kwa 4.9Tatizo muuzaji naye alipofanikiwa tu kuuza hiyo gari, amerudi kwa spidi ya 5G kutuchamba!!
Bila shaka haijauzwa ila anachokifanya mtoa mada ni kuonyesha umwamba tu kuwa yey noumahizi ndo threads nazikubali watu wanachambana na gari imeshauzwa