๐—ฉ๐—ถ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚

Kwa nijuavyo mimi, endapo ikatokea kweli wakaja viumbe kutoka nje ya sayari yetu kutuvamia, sisi hatutakuwa na chochote cha kufanya.

Kiumbe mwenye teknolojia ya kutengeneza chombo cha ukubwa wa Manhattan kinachoruka angani kwa spidi hiyo iliyotajwa, hatuna cha kumfanya, ukizingatia sisi hata teknolojia ya kufika hapo Mars hatuna. ๐Ÿ˜
 
Kwanza wanakuja kufanya nini, nani kawaita, kam kweli wanataka kuja waje siku ya uchaguzi kutusaidia kulinda kura
Wanakuja kuboresha mustakabali wa hali zetu kimaisha na kisiasa na ni kutokana na hali iliyopo kwa sasa kilio chetu wamekisikia na sasa wameamua kuleta majibu mubashara. Ratiba yao ni rigid na imepangwa ni Novemba 2025 kwa mujibu wa Taarifa za wanasayansi wabobezi. Ratiba Haibadilishwi bali wakifika na kuona mwenendo wa kura ulivyokuwa; wanaweza kamua kubatilisha matokeo na uchaguzi ukafanyika upya.
 
Wangeanza pale gerezani wakavunja watu koromeo wakamtoa Lissu
 
Kwahiyo walishahama pale Area 52 tulipoambiwa wanaishi?
La hasha. Wale wa area 52 wapo pale-pale ila wamezeeka sana. Wanaokuja ni vijana wajukuu wa hao wazee wa Area 52 na wanatokea huko watokako. Sisi Tujiandae na matawi ya miti mkononi kuwapokea. Hakuna kubeba mabango siku hiyo viginevyo itakuwa noma sana.
 
Aaaaah! Mjomba. Usiwasagie kunguni dada zetu - acha tu wajipambanie wenyewe aisee. Maisha yenyewe ndo haya-haya.
siwasagii kunguni ila chat haidanganyi..Dada zetu wapo kwenye bottom of the dating pool bila kujali uzuri wa maumbo yao.
fanya tafiti yako binafsi. utagundua iki ninachokisema. tuna wanawake wazuri lakini wengi wao uishia kudate na black men tu. lakini unaweza kutana na chata ngumu ya kiume imeoa mfiliponi ama mzungu na ndoa ina savaivu.

Dada zetu wana mentality flan ambayo inavulimika kwa mwanaume mweusi tu. wakiipeleka mentality hiyo kwa race zingine mahusuano yanakufa kwenye stage ya hawali kabisa.
so,ni ngumu mtu ambaye ame date na mwamke(non black) anayeendesha gari masaa 2 kwenda kwake ..akifika wanafanya yao kama ni story ama vitu vingine baadae demu ana geuza bila kuomba hela mafuta ama kulia shida..mwanaume huyo akikutana mwanamke mweusi hapo mahusuano hakuna kabisa.
 
Kama wanamisambwanda tutawashughulikia tu
 
Tunaishukuru serikali ya mama Samia kwa kutuletea hicho chombo.
 
Wangefika Wangefika 25/12/2025 ingekuwa poa sana.
 
Acha upopora hakuna kimberley kinachoitwa ariens ni fanatics za wazungu name umezmeza kama zilivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ