๐—ฉ๐—ถ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฒ ๐—ฎ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—น๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜€ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚

Wageni wote ndani na nje ya nchi wanaanzia ikulu samia atatuambia
 
Kuna maono niliyaona nikiwa usingizini miaka 3 au 5 nyuma kuhusu hivyo vitu kushuka duniani na kutokea hali ya machafuko, nafikri vitakaposhuka ni kiashiria cha mateso na mahangaiko ya mwisho wa dunia kama yalivyoandikwa kwenye kitabu cha ufunuo.....

Kumbuka kabla mambo kama hayo hayajatokea kuna watu Mungu anakuwa amewaonyesha kupitia maono au ndoto. Tujiandae kwa kujikabidhi kwa Muumba maana hautakuwa ujio mzuri, kitakuwa kipindi cha dhiki kuu na mateso.​
 
vikija najichagulia kaalliance kangu kademu kazuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuri alaf nakapelekea fire!!
 
Ujio wa Bwana Yesu kristo ukitafsiriwa vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ