Viumbe Donasari!

Uzidi kubariki Nafurahi japo mwanga nauona iwe ni kwa fiction au fact kuna kitu ni bora kukijua hata kama wanadhani ni vya uongo.

Bora kujua uongo wenye harufu ya ukweli kuliko kukaa bila kujua
 
Asante sana anaendelea kukazwa atajifunza kutokana na hii thread ila hawezi kuja kusema
 
Huo sio utaaluma, utaaluma ni kubisha kwa fact
Sasa we unasema tu Hapana halafu huna fact huon km huo ni ujinga?

 
Mkuu [HASHTAG]#Raphael[/HASHTAG] wa Ureno na wengine

Dinosaurs ni viumbe waliopata kiwepo kutokana na uthibitisho wa kisayansi na kihistoria.

Ugunduz wa mabaki ya kale (archaelogy) unathibitisha hili kupitia skeleton za wanyama hawa sehem.mbalimbali. Kwamfano, skeleton ile iliyogunduliwa hapa tanzania ilipokuwa reconstructed na kupimwa urefu (width) kwa UHALISIA ililingana na mstari wa watu wazima ishirini na nne. Huy si mnyama mdogo, na urefu huu unathibitisha kimo chake si kidogo pia

Kihistoria, maandishi mbalimbali ya kale yanathibitisha hili pia. Haraka haraka nakumbuka maandishi ya wareno wa kwanza kufika Afrika (ikumbukwe pia ndio wazungu wa kwanza kuja Afrika) kuandika kuhusu ndege iyeitwa "DODO" wakimtaja kua ni ndege mkubwa sana ambaye walimwinda kirahisi na kupata kitoweo.

Bahati mbaya viumbe hawa walitoweka kwa "natural extinction ",kama inavyowatokea viumbe wengine wakubwa kwasasa kama faru, sokwe na tembo

Kilichokuwa kimebuniwa hapo ni sura za kutisha za viumbe hao, yaan hakuna mwenye uhakika kama zile ndo sura zao
 
Ni kweli Dinosaurs walikuwepo, na fossils zimepatikana hadi hapa TZ. Na unaweza kujua diet ya mnyama/kiumbe yoyote kwa kuangalia meno tu. Jaribu kuchimba kidogo utapata majibu
 
Ona sasa ulivyo danganywa na wew bila kufikiria unaanza kusadiki ili ukadanganye wenzio tangu lini mnyama akataga mayai?
Dinosaurs walikuwa reptiles. Na reptiles wengi wanataga mayai. Kuna exception ya baadhi ya reptiles kama baadhi ya Vipers ambao wanazaa watoto hai.
 
Mkuu angalia hii documentary yote lakini kuhusu Dinosaurs angalia kwanzia dakika ya 27 hadi 32 hivi.

Haya mambo yalikuwepo kweli.

Mkuu haifunguki hebu jaribu ku-attach upya samahani lakini au naona link nipakuwe
 
Hapa ndipo wafia dini wanapokosa pumzi maana wanaamini uhai uliletwa duniani miaka chini ya elfu kumi iliyopita ilihali sayansi inasema uhai upo duniani mamia ya mamilioni ya miaka iliyopita.
Maendeleo ya binadamu (pamoja na uandishi) yalianza miaka kama 6000 hadi 8000 iliyopita. Na walidocument vilivyopo, hawakuhangaika na historia.
 
Acha watalaam wafanye yao!!! Najua Waafrika tu wagumu wa kuelewa mambo ya sayansi na teknolojia, mpaka uone kwa macho ndo uamini!!!!! Hata ujio wa simu watu walikuwa hawaanin kuwa unaweza kuongea na mtu aliyeko mbali/kumwona life. Kugundua kuwa huyu mtoto baba au mama yake ni fulan!!!! Kama haya unayaamini kuwa ni sahihi na yanafanywa na wanasanyansi, badi hata hili uamini!!!!!
 
Maendeleo ya binadamu (pamoja na uandishi) yalianza miaka kama 6000 hadi 8000 iliyopita. Na walidocument vilivyopo, hawakuhangaika na historia.
Documents za dini zinadai kuwa zimetoka kwa Mungu mwenyewe nayejua mambo yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Kama Mungu ndiye aliyewaambia warekodi hizo documents, mbona waliacha mambo mengi muhimu ambayo sayansi ndiyo iliyokuja kuyachimba?
Ina maana source ya documents za dini pamoja na habari za uwepo wa Mungu ni purely man made na ndio maana zinakomaa kulingana na wakati.
 
Sawa kabisa...... Mambo ya uchunguzi muda mwingi hutia watu uvivu ila wanaofanya hadi tamati huja na majibu mazuri sana.

Mtu anaweza akaona hakuna haja ya kuangalia au kufuatilia mambo ya kale ila yanatoa taswira ya zamani juu ya dunia.
 
Acheni wazungu wawe wazungu nimeangalia dakika ya 27-30 naona sijakosea na nafurahi kuanza kujua hawa viumbe
Ukiwa na muda wa utulivu iangalie yote, inatoa mwangaza mkubwa sana kujua ni namna gani mambo mengi kama serikali, uhai, majeshi, vita, kilimo na shughuli nyinginezo za kibinadamu zilivyoanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…