Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
- Thread starter
- #21
Uzidi kubariki Nafurahi japo mwanga nauona iwe ni kwa fiction au fact kuna kitu ni bora kukijua hata kama wanadhani ni vya uongo.Mabaki yake hayajapatikana Ulaya au Nchi za magharibi tu, yamepatikana pia China na Afrika.
Hata hapa kwetu yaligunduliwa Lindi na yapo museum Ujerumani.
Kuna wakati Zakhia Mehgji akiwa Waziri wa maliasili na utalii alitaka kuanzisha mkakati wa kuyarudisha lakini tatizo ikawa fedha za kuyahifadhi.
Bora kujua uongo wenye harufu ya ukweli kuliko kukaa bila kujua