Viumbe vingine vinaona binadamu ni kituko

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Katika wazawaza yangu hakika najua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana.

Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga, aige na kufanya michezo hatarishi.

Halafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu ilikuwaje wakati inasemekana wao ni wazuri kutuzidi.

Kingine, kiumbe kinatenga 1hr kujichezea nyeti na kugugumia hahahah, wanapata raha sana wanaotutazama. Kingine wakuu kunawale wa kutuma na yakutolea demu haji ghetto inaliwa.

Na wale wa chabo kwenye madirisha, na hawa wa kukanyaga mafuta mpaka wanateleza na kukanyagana. Kingine wakuu, eti shetani nasikia ni handsome kuliko sisi.

Hapo vipi?
 
5dedf1e7-7f91-4fe8-ae60-254b3b8e27cd.jpg
 
Malaika wanaanzaje kutuona wajinga wakati hata njaa tu hawajawahi kui experience?

Kiumbe ambacho muda wote kimeshiba kitapata wapi SI Unit ya kujua ujinga wa mtu?

Hivi kwa mfano huyo Mungu wao akawaambia kuanzia leo mtahisi njaa na mtakuwa mkipata choo kigumu halafu akawakata na yale mabawa wawe wanatembea kwa ngoko

Kumbuka hapo ni njaa tu bila stress za madeni
 
Katika wazawaza yangu hakika na jua viumbe kama pepo na malaika wanaona binadamu ni kituko sana

Sababu kila kitu kapewa ila anafanya ujinga mtupu mara kakimbizwa na mbwa akilewa aseme ujinga aige na kufanya michezo hatarishii

Alafu sielewii wale malaika ambao wali tamani wana za binadamu ilikuwaje wakati inasemekana wao ni wazuri kutuzidi

Kingine kiumbe kinatenga 1hr kujichezea nyeti na
kugugumia hahahah wanapata raha sana wanaotutazama

Kingine wakuu et shetani nasikia ni handsome kuliko sisi

Hapo vipi
Hapo sawaaaaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]asee nmecheka had machz utafikir na mimi ni malaika namwona binadamu kiumbe wa ajabu dog [emoji240] anamtoa nduki
Mara we binadamu umelwewa unayumba road
Kuna kale kahal binadamu tunapenda kutafuta uchizi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Asee sisi et uvute bangi uanze vituko MALAIKA SI KICHEKO HADI ANALIA
 
Malaika wanaanzaje kutuona wajinga wakati hata njaa tu hawajawahi kui experience?

Kiumbe ambacho muda wote kimeshiba kitapata wapi SI Unit ya kujua ujinga wa mtu?

Hivi kwa mfano huyo Mungu wao akawaambia kuanzia leo mtahisi njaa na mtakuwa mkipata choo kigumu halafu akawakata na yale mabawa wawe wanatembea kwa ngoko

Kumbuka hapo ni njaa tu bila stress za madeni
😂😂😂 Wangechakaaa kutuzidi na wapewe stress za mapenzi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]asee nmecheka had machz utafikir na mimi ni malaika namwona binadamu kiumbe wa ajabu dog [emoji240] anamtoa nduki
Mara we binadamu umelwewa unayumba road
Kuna kale kahal binadamu tunapenda kutafuta uchizi
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Asee sisi et uvute bangi uanze vituko MALAIKA SI KICHEKO HADI ANALIA
😂😂😂😂 Bado wa tuma na yakutolea
 
Back
Top Bottom