Mtu anaiba kuku tunapiga mpaka tunaua ila jitu linazoa mabilioni mahala na anasema ni vijisent wala hatuna habari nae na akikohoa kila mtu anajamba! Lazima watushangae!
Hawawezi amini sigara sisi wenyewe tumezihakikisha ni hatari kwa afya na wazi wazi tunazitangaza na tangazo la hatari na bado ndio zimeshikilia uchumi wa nchi
Jitu linaacha mke, lina piga punyeto na malaya linanunua kwanini wasituone vituko
Kwanini wasituone vituko pale anapotokea mtu kutupambania kwa haki na tunamfelisha makusudi na wala c kwa maslahi yake binafsi
Unanunua kagari hujawahi hata kuzurula nacho town, unapakia familia nzima unaenda kushindana na malori barabarani, kwanza hao malaika mbali ya kukuona kituko, watawachukua familia yako yote ili wasiendelee kushuhudia hivyo vituko vyako
Tumesha laanika, sehemu sahihi na halali kutumika ipo na watu wanaruka ukuta hao malaika wakuangalie na wasikuone kituko na walio endelea wanaidhinisha kua ni halali
Mchungaji wa watu kajisemea ukweli ambao hata baadhi ya wachungaji wengine walisha jisemeaga tena bila aibu mna mpiga chini sio vituko
Kuna meeengi yanayofanya tuonekane vituko mbali na kutuona vilaza
Tuna laana lazima watuone vituko