Viumbe vingine vinaona binadamu ni kituko

,πŸ€”πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Nawaza tu siku moja initokee live kama zile story za majini handsome anipende afu awe ananipa helaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ yaan eti nimelala tu kitandani naamka nakuta kitita cha pesa iko apo, mpenzi wangu mzuuuuriii kuliko viumbe wote ako pembeni yangu muda wote afu hachepuki, nisipate shida yoyote darling huyu hapa, mara tunaenda kwao katikati ya bahari tunasalimia tunarudi 🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Aaa kweli umefikiria parefu
 

daa bro kama ni mbususu umeipiga midole,yaan you nailed it!
umemjib sawa sawa na akil yke.mi mwenyw nimetoka kushusha kmoja coz of stress!
 
Mtu anaiba kuku tunapiga mpaka tunaua ila jitu linazoa mabilioni mahala na anasema ni vijisent wala hatuna habari nae na akikohoa kila mtu anajamba! Lazima watushangae!


Hawawezi amini sigara sisi wenyewe tumezihakikisha ni hatari kwa afya na wazi wazi tunazitangaza na tangazo la hatari na bado ndio zimeshikilia uchumi wa nchi


Jitu linaacha mke, lina piga punyeto na malaya linanunua kwanini wasituone vituko


Kwanini wasituone vituko pale anapotokea mtu kutupambania kwa haki na tunamfelisha makusudi na wala c kwa maslahi yake binafsi


Unanunua kagari hujawahi hata kuzurula nacho town, unapakia familia nzima unaenda kushindana na malori barabarani, kwanza hao malaika mbali ya kukuona kituko, watawachukua familia yako yote ili wasiendelee kushuhudia hivyo vituko vyako



Tumesha laanika, sehemu sahihi na halali kutumika ipo na watu wanaruka ukuta hao malaika wakuangalie na wasikuone kituko na walio endelea wanaidhinisha kua ni halali


Mchungaji wa watu kajisemea ukweli ambao hata baadhi ya wachungaji wengine walisha jisemeaga tena bila aibu mna mpiga chini sio vituko

Kuna meeengi yanayofanya tuonekane vituko mbali na kutuona vilaza

Tuna laana lazima watuone vituko
 
Sio vibaya kuwaza hata ujinga. Umekuwa kama mimi wakati nikiwa mdogo nilikuwa nawaza hiv ninan alitupasua matako? Ujinga ujinga tu.
 
Kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…