Viumbe wa ajabu waacha michoro kwenye pyramid

Hongera sana na je ulibahatika kumuona?
Culture...
Sikubahatika kumuona kwa kuwa ile sehemu walikomuhifadhi ilikuwa imefungwa yaani, ''closed down to public.''

Miaka ile ya 1980s Ikhwan Muslim wa Egypt wakipambana na Sadat kwa hiyo wakampa jina wakimwita Firaun kisa ni kuwa wanadai Sadat aliwasaliti katika Vita Vya Yom Kippur 1973 kwa kurejesha majeshi nyuma na kumuacha Hafiz Al Asaad peke yake apigane na Israel.

(Kisa hiki ni kirefu ikiwa mtu anataka kukisoma atafute kitabu cha Mohamed Heykal, ''The Road to Ramadan'').

Kwa ajili hii walimuhukumu kifo na kweli wakamuua.
Hii ndyo hali niliyoikuta Misri nilipofika mwaka wa 1988.
 
Peneal gland kwa lugha nyingine rahisi ndiyo huitwa jicho la 3.. Wale waofanya meditation hiyo part ndio huweza kuwa activated kirahisi.. So inasemekana imebeba siri nyingi sana kuhusu maisha ya binadam
 
Peneal gland kwa lugha nyingine rahisi ndiyo huitwa jicho la 3.. Wale waofanya meditation hiyo part ndio huweza kuwa activated kirahisi.. So inasemekana imebeba siri nyingi sana kuhusu maisha ya binadam
hujakosea upo sahihi...unaweza ukashangaa ukiambiwa teknolojia yetu hii tume copy na kupest.
 

Duuh mzee wangu ulifika kipindi ambacho kulikua na vugu vugu la kutosha, hao waliomuua Sadat hawakutaka Unafki kabisa....

Hongera umesoma historia na bado zingine umezifikia.
 
Culture...
Unanichekesha.
Ujana ni kama moshi.

Ghafla umeondoka umeingia uzee.
Huwa nacheka sana hapa Barzani kuna watu huwa wananiita ''hili zee...''

Hahahaha nimependa vile unazeeka mwili lakini akili yako iko mbiichi hadi unaweza kutuachia elimu na sie.

Allah azidi kukupa umri wenye afya tele.
 
fuatilia makala zetu tutakuletea shahidi zote hapa hapa
HAKUNA USTAARABU WALA MAENDELEO YA TEKNOLOGIA YANAYOZIDI YA SASA VINGINEVYO TUNGEIKUTA. Hata wangkufa wote kwa gharika tungekuta simu, komputa nk maana kwa madai yako walikuwa na akili kupita sisi. WANGETENGENEZA MFUMO WA KUWATAMBULUSHA. HAYO MAPIRAMID NI USHAHIDI WA UFINYU WA TEKNOLOGIA
 
moja ya mabaki yao katika hiyo picha ndipo tulipo kopy ramani ya viwanja vya ndege. juma mosi tutakuletea makala ya michoro hiyo inayopatikana amerca peru eneo hilo mvua hunyesha dakika 20 ndani ya mwaka mzima

 
Wewe hatakama ni Mzee basi nimzee wa Heshima zake.
Devor,
Najitahidi sana kujistahi.

Bahati mbaya niandikayo yanawaghadhibisha wengi sana kwani hiyo ni historia ambayo hawakupatapo kuijua.

Matokeo yake huwa wengine wanakuja na hamaki na wakati mwingine huishia kwa matusi.
 
We ndiye yule uliyetumwa na mchungaji ukamwambie farao kua mshaji kaokoka harudi tena misri anaenda kanani?

[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]
Ana passport ujue


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…