Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Culture...Hongera sana na je ulibahatika kumuona?
Culture...Hongera sana Mzee wangu kwa kufika nchi yenye historia kubwa,
Enzi zako ulikua Maa Shaa Allah....[emoji1]
Miaka 3500 iliyopita katika nchi ya Misri walipata kupata ustarabu na mariifa ya hali ya juu. Karne ya 19 kuligunduliwa michoro ya ajabu katika pyramidi ukionesha sehemu za ubongo wa mwanadamu michoro hiyo imechorwa kwa ustadi wa hali ya juu. Tafiti mbali mbali zinaonesha michoro hiyo imekuepo hapo kabla ya mwanadamu hajakanyaga huu mgongo wa ardhi.
Kwa lugha safi michoro hiyo inatueleza kuwa kuna zama katika ulimwengu huu palipata kuwepo na viumbe wenye maarifa makubwa kuliko za zetu tulizokuepo sasa.
Kushoto katika picha ndiyo michoro inayopatikana katika pyramidi, kulia kwake ni picha halisia ya mfumo wa ubongo wa mwanadamu.
View attachment 1282587
hujakosea upo sahihi...unaweza ukashangaa ukiambiwa teknolojia yetu hii tume copy na kupest.Peneal gland kwa lugha nyingine rahisi ndiyo huitwa jicho la 3.. Wale waofanya meditation hiyo part ndio huweza kuwa activated kirahisi.. So inasemekana imebeba siri nyingi sana kuhusu maisha ya binadam
mungu akupe afya njemaCulture...
Unanichekesha.
Ujana ni kama moshi.
Ghafla umeondoka umeingia uzee.
Huwa nacheka sana hapa Barzani kuna watu huwa wananiita ''hili zee...''
Culture...
Sikubahatika kumuona kwa kuwa ile sehemu walikomuhifadhi ilikuwa imefungwa yaani, ''closed down to public.''
Miaka ile ya 1980s Ikhwan Muslim wa Egypt wakipambana na Sadat kwa hiyo wakampa jina wakimwita Firaun kisa ni kuwa wanadai Sadat aliwasaliti katika Vita Vya Yom Kippur 1973 kwa kurejesha majeshi nyuma na kumuacha Hafiz Al Asaad peke yake apigane na Israel.
(Kisa hiki ni kirefu ikiwa mtu anataka kukisoma atafute kitabu cha Mohamed Heykal, ''The Road to Ramadan'').
Kwa ajili hii walimuhukumu kifo na kweli wakamuua.
Hii ndyo hali niliyoikuta Misri nilipofika mwaka wa 1988.
Hahahaha nimependa vile unazeeka mwili lakini akili yako iko mbiichi hadi unaweza kutuachia elimu na sie.Culture...
Unanichekesha.
Ujana ni kama moshi.
Ghafla umeondoka umeingia uzee.
Huwa nacheka sana hapa Barzani kuna watu huwa wananiita ''hili zee...''
HAKUNA USTAARABU WALA MAENDELEO YA TEKNOLOGIA YANAYOZIDI YA SASA VINGINEVYO TUNGEIKUTA. Hata wangkufa wote kwa gharika tungekuta simu, komputa nk maana kwa madai yako walikuwa na akili kupita sisi. WANGETENGENEZA MFUMO WA KUWATAMBULUSHA. HAYO MAPIRAMID NI USHAHIDI WA UFINYU WA TEKNOLOGIAfuatilia makala zetu tutakuletea shahidi zote hapa hapa
moja ya mabaki yao katika hiyo picha ndipo tulipo kopy ramani ya viwanja vya ndege. juma mosi tutakuletea makala ya michoro hiyo inayopatikana amerca peru eneo hilo mvua hunyesha dakika 20 ndani ya mwaka mzimaHAKUNA USTAARABU WALA MAENDELEO YA TEKNOLOGIA YANAYOZIDI YA SASA VINGINEVYO TUNGEIKUTA. Hata wangkufa wote kwa gharika tungekuta simu, komputa nk maana kwa madai yako walikuwa na akili kupita sisi. WANGETENGENEZA MFUMO WA KUWATAMBULUSHA. HAYO MAPIRAMID NI USHAHIDI WA UFINYU WA TEKNOLOGIA
Culture...Hahahaha nimependa vile unazeeka mwili lakini akili yako iko mbiichi hadi unaweza kutuachia elimu na sie.
Allah azidi kukupa umri wenye afya tele.
Wewe hatakama ni Mzee basi nimzee wa Heshima zake.Culture...
Unanichekesha.
Ujana ni kama moshi.
Ghafla umeondoka umeingia uzee.
Huwa nacheka sana hapa Barzani kuna watu huwa wananiita ''hili zee...''
Devor,Wewe hatakama ni Mzee basi nimzee wa Heshima zake.
We ndiye yule uliyetumwa na mchungaji ukamwambie farao kua mshaji kaokoka harudi tena misri anaenda kanani?Nilikwenda miaka ya nyuma na kumuona farao [emoji88]
We ndiye yule uliyetumwa na mchungaji ukamwambie farao kua mshaji kaokoka harudi tena misri anaenda kanani?
Thibitisha.binadamu wa sasa ndio kiumbe mwenye maarifa kuliko wote
Hope umepata kituKwenye hiyo picha ya kwenye pyramid, nimeona alama ya msalaba. Nimebaki na maswali lukuki.
Huyo farao ndio yule aliye bishana na Mungu kipindi anatakiwa kuwaachia wana wa Israel mpaka akapigwa mapigo kumi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama waliochora walikuwa sio binadamu je walikuwa kina nani wenye akili zaidi ya mwanadamu?