Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ndio naanza Safari ya miguu muda huu kuelekea hukoHuko Misri hukoooo,
Itabidi nikapatembelee.
Alliens mkuuHao Egyptian walikuwa na maarifa makubwa sana ambapo mpaka leo bado wanasayansi wanakuna kichwa
Kama waliochora walikuwa sio binadamu je walikuwa kina nani wenye akili zaidi ya mwanadamu?
Mzee Mohamed kweli pongezi sanaCulture,
Misri ni nchi ningependa sote tufike kwani wana historia kubwa kupita kiasi.
Hiyo picha ni ya mwaka 1988 wa kwanza kulia waliosimama.
Hapo ni Giza nje kidogo ya Cairo ndipo zilipo pyramids.
Ukiangalia nyuma yetu utaiona moja.View attachment 1282731
Mzee Mohamed mimi binafsi kama mwalimu wa historia nimepanga kukutafuta na kupata simulizi mbalimbali kutoka kwakk moja kwa moja na napenda nikutaarifu umenifanya niwe naangalia TBC [emoji23][emoji23][emoji23]Culture...
Unanichekesha.
Ujana ni kama moshi.
Ghafla umeondoka umeingia uzee.
Huwa nacheka sana hapa Barzani kuna watu huwa wananiita ''hili zee...''
Dudu...Mzee Mohamed mimi binafsi kama mwalimu wa historia nimepanga kukutafuta na kupata simulizi mbalimbali kutoka kwakk moja kwa moja na napenda nikutaarifu umenifanya niwe naangalia TBC [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee said Mohamed Said mummification ni kitu gani?Black...
Firaun amehifadhiwa Egyptian Museum Cairo na zaidi ya miaka 5000 toka alipokufamaji.
Yeye alijiita Mungu kwa kusema, ''Mimi ndiye Mungu wenu mkuu.''
Allah akasema kuwa amemuhifadhi ili ulimwengu umuone na umshuhudie kuwa yeye si Mungu.
Mimi nilifika Egyptian Museum kumuona Firauni lakini ile ''chamber,'' ilikuwa imefungwa walikuwa kwa wakati ule wamezuia kumuona, ''Mungu.''
Mzee,Mzee said Mohamed Said mummification ni kitu gani?
Pyramids ziliumbwa?Hao Egyptian walikuwa na maarifa makubwa sana ambapo mpaka leo bado wanasayansi wanakuna kichwa
Kama waliochora walikuwa sio binadamu je walikuwa kina nani wenye akili zaidi ya mwanadamu?
Basi nilifikiri hiyo ndio teknolojia ilitumika kumuhifadhi firauni na si laana kama inavyoandikwaMzee,
Kuhifadhi mwili wa mtu aliyekufa.
Ingia Google utapata habari zaidi.
Pyramids ziliumbwa?
Kama michoro ipo kwenye pyramids kabla binadamu hajawepo duniani
Mtoa post anasema hiyo michoro imekuwepo hapo kabla binadamu hajakanyaga ardhi ya dunia ndiyo nauliza hizo pyramid ziliumbwa?Hazijaumbwa bali zilitengenezwa kama walivyochora
Binadamu walikuwepo zama na zama ila wazungu wamekuaminisha hivyo kuwa ni viumbe wengine
Kwenye hiyo picha ya kwenye pyramid, nimeona alama ya msalaba. Nimebaki na maswali lukuki.