Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 866
The same applies to men,au sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ladies please handle them with care.
Wapendeni, watiini, wafanyeni waonekane spesho.
Muonyeshe mwanaome wako jinsi unavyomuonea fahari.
Mjulishe kuwa wewe ni mwanamke mwenye bahati kwa kumpata mwanaume wako.
Usimuexpose kwa wenzako watakuibia.
Na mayai yake mawili unayaweka kwenye kisosa unayasugua kwa kabrashi kalaiiiniii
hapo umenena kweli,hasa hili swala la exposure mmmmh akina dada mngejua hao mashoga zenu,sijui hata kama mngewatambulisha kwa muwapendao,nasema hivi, NI HATARI TUPU.Ladies please handle them with care.
Wapendeni, watiini, wafanyeni waonekane spesho.
Muonyeshe mwanaome wako jinsi unavyomuonea fahari.
Mjulishe kuwa wewe ni mwanamke mwenye bahati kwa kumpata mwanaume wako.
Usimuexpose kwa wenzako watakuibia.
jibu maalum hapa hupati,ukismsoma mwenzio anapenda nini na ukamfanyia atajua unampenda.anaweza akaitwa atm nje na matusi kibaooo lakini so long anapata nini roho inapenda basiiiii.kiumbe huyu "mwanaume"ni wa ajabu sana. Mimi mkewe namheshimu sana, nampenda sana, simwiti majina ya ajabu, lakini atakwenda kutafuta wanaomwita majina ya ajabu k.m. Buzi, atm, n.k.
Sijui apendweje huyu kiumbe? Hebu wababa mtusaidie hapa. Mnataka mfanyiwe nini ili muone kuwa mnapendwa kweli kweli??
Bazazi ametalikiwa na mkewe; Unaonane Sydney?Mi nilijaribu yoote hayo uliyoyataja lakini niliambulia ambayo sikuyatarajia, wanaume ni viumbe wa ajabu sana! Lakini asante kwa kumbukumbu hii, maana naweza kuitumia kwa miaka ijayo mungu akipenda!