Ngoja nikwambie mdogo wangu gerard, hata mjomba pirlo wameishawahi kutumika kama namba 6..
Mtu kama gerard kapiga 4,6,8,7 na 10 katika career yake.
Turudi nyuma kidogo hapo kwa mjomba pirlo, niambie kipi busquets kamzidi mjomba pirlo!!?
Kwangu mimi busquet hata mjomba gilbeto da silva hamgusi, itakuwa xabi alonso..
Mtu kama makelele, kiasi namba 6 imeitwa makelele role kweli awe kilaza masihara haya bwa mdogo..
Busquets hana utofauti mkubwa na michael carrick kwenye ubora wake, sema tu nae alizaliwa taifa bovu la soka duniani..