Viungo bora wakabaji wa muda wote top ten

Duh! Nan kamstaafisha Marcos senna Spain na aliyemuhamisha namba xavi Alonso wordcup 2014 ni nan?
 
Alonso ni 6...
Alonso ni central midfielder au namba 8 kwa mfumo wa zamani au box-to-box midfielder toka alipokua real sociedad na alipokuja liverpool alkua anacheza namba io io huku 6 akisimama mascherano au jamaa mmoja alkua akiitwa smicer kama sijakosea alipoenda Real msimu wa kwanza ndio alicheza kama holding na akicheza holding anacheza kama deep-lying playmaker kama alivyokua akicheza pirlo au verrati kwa sasa..Hata timu ya taifa wanashinda Euro 08 namba 6 yuko marcos sena 2010 world cup namba 6 busquets Euro 2012 namba 6 busquets.
 
Kudos mkuu
 
Lothar Matthaus namba 6 alieshinda Ballon d’Or hayupo? Hii list yako ni feki.

Lothar Matthaus
Roy Keane
Makelele
Viera
Diego Simeone
Didier Deschamps
Frank Rijkaard
Edgar Davids
Dunga.
 
Lothar Matthaus namba 6 alieshinda Ballon d’Or hayupo? Hii list yako ni feki.

Lothar Matthaus
Roy Keane
Makelele
Viera
Diego Simeone
Didier Deschamps
Frank Rijkaard
Edgar Davids
Dunga.
Kama Stephene Effernberg hayumo hiyo list nayo ni fake
 
Mkuu kama umemuweka Gattuso na kuwaacha hawa ambao ni generation moja, hii list yako inatia shaka;
[emoji116] [emoji116] [emoji116]

Patrick Vieira

Roy Keane

Claude Makelele

Edgar Davids
 
Hii ni list yangu ya namba 6. ( sijapanga kufuata mtiririko wa ubora )

1. Pep Guardiola ( Nenda camp nou kaulize habari yake)
2. Gilberto silva
3. Dunga
4. Claude makelele.
5. Fernando redondo
6. Genaro Gatuso
7. Roy keane
8. Patrick viera
9. Stefen effernberg
10. Marcos sena
11. Masimo ambrosini.
12. Edgar davis
13. Diego simeone
14. Didier Deschamps
15. Javier Mascherano


Huyo Busquets hatii mguu humo. Hata kwa level ya jose maria Gutierez bado hajaifikia.
 
Uyo masherano hadi kabadili number kisa Sergio guadiora wako anasema hajawahi ona kiungo mkabaji bora kama Sergio Marcos senna alitemwa kikosi ya word cup 2010 kisa Sergio sasa sijui una lipi la kusema?
 
Duh! Nan kamstaafisha Marcos senna Spain na aliyemuhamisha namba xavi Alonso wordcup 2014 ni nan?
Naona hta alonso mwenyewe humjui vizur haitwi xavi huyu ni xabi "xabier" alonso, turudi kwenye topic.

Labda kwa ufupi tuu, Alonso ana vitu vingi kuliko huyo sergio wako.. anauwezo wa kukaba na kushambulia, pasi ndefu ni mujarabu kwake, mpira ni mchezo wa mbinu, mandzukic anatokea winger ya kushoto pale juve wakati ni mshambuliaji kiasili. As a defensive midfilder alonso no bora zaid ila alisogezwa juu sababu anavitu amabavyo busquet hana, kama yeye angecheza chini busquet juu lingekuwa tatizo sababu busquet hawezi kufanya kile ambacho alonso anakifanya akiwa juu. Ac milan pirlo alikuwa anacheza deep kwa gatusso katika. 4-4-2 ya diamond wide, sijui unataka kuniambia nini..

Timu inaweza cheza na viungo wakabaji wawili hata watatu inategemea na mwalimu.. alonso hakuhamishwa namba alicheza sambamba na busquet juu yao akiwemo xavi, sababu ratio ya kushmbulia na kuzuia ni sawa. Alikuwa anapiga kazi mbili kwa wakati mmoja.
 
Uko sahihi mkuu, ila hapa namzungumzia kama holding kumunesha bwa mdogo jinsi gani alonso alipokuwa anaudananda alikuwa no hatari katika sekta hyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…