Kumbe mtu, nikajua mimi ndio nimetoboa..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora Mimi kuliko wewe uliyeka mtu katoboa pua kwenye avatar yake
Umekalili maisha
Kumbe mtu, nikajua mimi ndio nimetoboa..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Achana nae mkuu, muhimi tushakajua hakako kawaida ni kakukaacha tu, usijekuwa unabishana na mtoto wa mama..Huyu dogo ana matatizo sana asisee.
Huyo hawezi kuzijua Kazi za hawa jamaa.Uliposema Viungo bora wa kukaba wa muda wote nilitegemea nione majina haya kwa haraka sana;
Claude Makelele
Roy Keane
Patrick Vieira
Marcon Sena
Lothar Matthiaus
Didier Deschamps
Frank Rijkaard
Gilberto Silva
Na wengineo wa kariba hiyo. Sasa ninapoona akina Sergio Busquet ndio namba moja nabaki kushangaa!
Sawasawa mkuu hao watu wake ata top 1000 hawapo. Mtoto mdogo shabiki wa Man City anataka kujifanya anajua viungo bora heheheheLothar mathaus
Frank rijkard
Graeme sousness
Claudio makelele
Deschamps
Viera
Marco tadelli
El cholo.. diego simeone
Dunga
Gilberto da silva
Naweza kuendelea mpaka 50 na busquet asiwemo
Graeme Souness kama hayupo list yako ni fekiLothar Matthaus namba 6 alieshinda Ballon d’Or hayupo? Hii list yako ni feki.
Lothar Matthaus
Roy Keane
Makelele
Viera
Diego Simeone
Didier Deschamps
Frank Rijkaard
Edgar Davids
Dunga.
Acha uongo,makelele alikuwa bora tangu akiwa Madrid Kama mkabaji,kipindi hicho morinho alikuwa hajulikaniViungo "wakabaji" mwanzoni walikuwa na jukumu la kuunganisha timu kati ya defence na wachezaji wa mbele.
Ukweli ni kwamba Jose Mourinho ndo haswa kaitambulisha hii ya KIUNGO MKABAJI WA SASA na majukumu anayofanya, na shughuli hii aliianzisha kwa Makelele na Essien pale chelsea. Kwa kuwa ilifanikiwa basi kila mtu akaichukua on board na sasa imekuwa ni kama standard. Ni kama full backs, mwanzoni hawakuwa wanapanda sana mpaka alipoanzishaga kwa sana Carlos Roberto na Cafu.
Hivyo kiungo ukabaji haina muda mrefu sana dimbani. Wapo wachache waliitumiaga hii falsafa lakini kwa kiwango kidogo.