Viungo bora wakabaji wa muda wote top ten

Naipenda sana Barcelona lakini kila ninapoangalia
mechi zao mtu ambaye huwa namfuatilia zaidi Sergio Busquets.
Jamaa anajua sana mpira, namna anavyopiga
pasi ndefu/fupi, chenga za maudhi na uwezo wa kukaba
hakika ni kipaji maridhawa katika soka. Kwa wale ambao
wana wasiwasi na uwezo wake waangalie mechi za Barca
Na wampe jicho la ziada waone kazi anayoifanya. kwangu mimi
huyu ndio kiungo wa chini wa muda wote kwa niliobahatika kuwaona.
 
Hapo mwishoni umemaliza vyema sana kuwa alikuwa anapiga kazi mbili kwa pamoja yaani kukaba na kushambulia, viungo wa dizaini hiyo tunawaita Box to Box Midfielders!
 
Arturo Vidal the chilean monster lakini yeye ni box-to-box midfielder
 
Una umri gani? Mpira umekuzidi mbali sana, hao uliowataja hapo wengi hawamfikii hata Selemani Matola "Sele".
 
Naona unampigia promo baba yako mdogo
Ni kweli, lakini Je, wewe unadhani ni sahihi kumuweka nje Patrick Viera au Dunga au Essien na kuweka huo ubwege wako sijui Sergio Mara cassemilo? Hata kwa Mwanangu Chuji tu Hawafikii
 
ID kama ya yule kiungo mkabaji wa Barca
 
hujui ulichokiandika yaani umeandika Makande matupu
 
ID kama kiungo mzuiaji wa Barcelona anayeleta ubishi hapa uzini
 
Ni kweli, lakini Je, wewe unadhani ni sahihi kumuweka nje Patrick Viera au Dunga au Essien na kuweka huo ubwege wako sijui Sergio Mara cassemilo? Hata kwa Mwanangu Chuji tu Hawafikii
Ni sahihi sababu kimafanikio hawajamkuta wote kwa pamoja
 
Ni sahihi sababu kimafanikio hawajamkuta wote kwa pamoja
Uchambuzi wako haujakaa kuangalia/kutathmini mafanikio, umeongelea uwezo wa kiuchezaji, na ndio maana ukasema Sergio anaziba mianya/matobo wapinzani wasiwadhuru na pia anapiga sijui "killer pass"..

Kama mafanikio labda yawe yale binafsi, ila ya kitimu utakua hujatenda haki.. list mbovu.
 
Lothar na Rijkaad walikuwa viungo kweli au matango pori haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…