OK Haya mkuu, mi nilizoea kuwaona wakicheza kama defenders
Rijkaard alikuwa anaweza kucheza kama defender au midfielder.
Wee jamaa unajua sana hii makitu...Carlos Valderamma-the greatDunga
Diego Simeone
Roberto Di Matteo
César Sampaio
Stig Tøfting
Didier Deschamps
Patrick Vieira
Roy Kean
Clarence Seedorf
Phillip Cocu
Jens Jeremies
Dietmar Hamann
Dragan Stojković
Carlos Valderrama
Paul Ince
Paul Scholes
josé maría gutiérrez
EDGER DAVIS
Roberto Carlos na Cafu hawakuanzisha hii kitu. Isome Brazil iliyotwaa WC ya 1994 pale USA. Cafu aliingia kama Sub baada ya mtangulizi wake kushindwa kuhimili pressure ya Azurri (chini ya Arigo Sacchi) na mfumo wao wa 3-5-2. Brazil chini ya Carlos Alberto Perreira walienda na 4-4-2.Viungo "wakabaji" mwanzoni walikuwa na jukumu la kuunganisha timu kati ya defence na wachezaji wa mbele.
Ukweli ni kwamba Jose Mourinho ndo haswa kaitambulisha hii ya KIUNGO MKABAJI WA SASA na majukumu anayofanya, na shughuli hii aliianzisha kwa Makelele na Essien pale chelsea. Kwa kuwa ilifanikiwa basi kila mtu akaichukua on board na sasa imekuwa ni kama standard. Ni kama full backs, mwanzoni hawakuwa wanapanda sana mpaka alipoanzishaga kwa sana Carlos Roberto na Cafu.
Hivyo kiungo ukabaji haina muda mrefu sana dimbani. Wapo wachache waliitumiaga hii falsafa lakini kwa kiwango kidogo.
Hyo Carlos ni mtu hatari saana 1998 kombe la duniaWee jamaa unajua sana hii makitu...Carlos Valderamma-the great
Sisemi kwamba alianzisha, ila ndio full backs walioanza kutumiwa ktk stailo hii na makocha wao.Roberto Carlos na Cafu hawakuanzisha hii kitu. Isome Brazil iliyotwaa WC ya 1994 pale USA. Cafu aliingia kama Sub baada ya mtangulizi wake kushindwa kuhimili pressure ya Azurri (chini ya Arigo Sacchi) na mfumo wao wa 3-5-2. Brazil chini ya Carlos Alberto Perreira walienda na 4-4-2.
Una umri gani,tatizo la utoto lakwako linakusumbuaYeah! Wanasoka wenzangu nipo hapa kutoa List fupi wa viungo wa kukaba bora wa mda wote kwa upande wangu katika tasnia ya soccer .
1.Sergio Busquets - kwa upande wangu huyu jamaa ni bora kabisa katika viungo wote kutokana na uwezo wake wa kuziba matobo na kupiga killer pass na unyumbulifu wake
2.Gatusso- huyu nampa nafasi ya pili kutokana na ubora wake katika kukaba na roho mbaya ya unyama unyama
3.Claudia Makelele- kijana kutoka ufaransa nae alikuwa ni bora kabisa katika nafasi yake hiyo
4.Ngolo Kante- kijana pia kutoka ufaransa ambaye anakipaji cha hali ya juu katika kusakata kabbu katika hiyo nafasi
5.Cassemiro - a.k.a the Tank ni kipaji kinachochipukia lakini kutokana na ubora wake nampa nafasi ya tank
6.Xavi Alonso mhisipaniola fundi nae ni xavi Alonso anasifika kwa kupiga long passes na kukaba .
Japo heading inasema ni top ten naomba niishie 6 ilikuwapa nafasi na wachangiaji kumalizia hao wa 4 waliobaki
Hivi lidondo alikuwa ngapiUliposema Viungo bora wa kukaba wa muda wote nilitegemea nione majina haya kwa haraka sana;
Claude Makelele
Roy Keane
Patrick Vieira
Marcon Sena
Lothar Matthiaus
Didier Deschamps
Frank Rijkaard
Gilberto Silva
Na wengineo wa kariba hiyo. Sasa ninapoona akina Sergio Busquet ndio namba moja nabaki kushangaa!
Soma ID yake ndio utaelewa kwanini kwamuandika huyo sergioUliposema Viungo bora wa kukaba wa muda wote nilitegemea nione majina haya kwa haraka sana;
Claude Makelele
Roy Keane
Patrick Vieira
Marcon Sena
Lothar Matthiaus
Didier Deschamps
Frank Rijkaard
Gilberto Silva
Na wengineo wa kariba hiyo. Sasa ninapoona akina Sergio Busquet ndio namba moja nabaki kushangaa!
Lidondo ndio nini mkuu? Tusiharibu majina ya watu. Anaitwa Fernando Redondo " El Prince " alikuwa anacheza namba 6 ( Deeplying Midfielder ).Hivi lidondo alikuwa ngapi
Hao ni viungo wa kukaba bila wasi wowote kabisa. Kwani wewe ulifikiri walikuwa wanacheza nafasi gani?Lothar na Rijkaad walikuwa viungo kweli au matango pori haya
Swadakta kabisa hujakosea maana makombe ndyo yanatuonyesha status ya mtu
Hoja zote ninazo anakila kombe na hajawahi kupigwa benchi na yeyote