Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 51
Habari wakuu,
Naomba sana nipatiwe msaada wa sheria kwenye hili swala.
Hivi ikitokea mtu (Specifically mfanyakazi wa mochwari) amekamatwa na viungo vya binadamu, katika sheria ya makosa ya jinai ya nchi yetu, mtu huyo atashitakiwa na kuadhibiwa (kwa mujibu wa Penal Code) kwa kosa gani? Maana najua hawezi kushtakiwa kwa kosa la mauaji sababu ni viungo vya watu waliokufa ambao wako kwenye supervision yake.
Miezi michache iliyopita kuna mtoto alikamatwa na kichwa cha binaadamu pale hospitali ya muhimbili, alipokamatwa alishtakiwa kwa kosa la mauaji kwa sababu kile kichwa kilikua ni cha a missing young girl somewhere karibu na anapoishi yeye, because of that moja kwa moja alichukuliwa kama atakua amemuua yule mtoto na kuondoka na kichwa chake.
Nimeweka huu mfano at least nipate kueleweka kirahisi and eventually nipate msaada kutoka kwenu wakuu.
Natanguliza shukrani za dhati.