mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Habari zenu wadau?
Mimi nilikuwa napenda kufahamu ungependa upate viungo gani vya chakula ambavyo vimeshaandalliwa na kufungashwa ili kurahisisha mapishi yako. yani nipe mawazo yako ni viungo gani kama ni wewe ungependa vikufikie jikoni vikiwa vimeandaliwa kabisa haswa vya kiasili ya Tanzania.
Nawakaribisha nyote mnipe mawazo yenu ninategemea kuanza kupakia viungo katika package za kisasa ili ziuzwe kwenye maduka na masoko yanayoweza kufikiwa na watu wa madaraja yote nikianzia nyumbani baadae nje ya nchi Naomba pia mwenye taarifa ya sehemu viungo vinapopatikana kwa wingi na aina ya hivyo viungo tupeane taarifa pia.