The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Wapishi na wapenda mapishi, naomba msaada wenu!
Ni viungo gani mbalimbali vinavyotumika katika kupika mboga ili kuzifanya ziwe na ladha nzuri?
Maana ni mwezi sasa tangu nitoke home naona mapishi nayopika hasa ya mboga hayana radha kama ya nyumbani.
Pia ningependa kujua bei za viungo hivyo kwa sasa.
#MapishiYaMboga #ViungoAsili #LadhaBora