The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Nyumbani ni wale wa kusubiri upakue tu mezani πNyumbani walikua wakitumia viungo vipi mwanangu , maana hapo kama nmeelewa unahitaji kupata ladha kama ya nyumbani
Ahsante sana Mwachiluwi ππMfano nyamq nunua simba mbili unakuwa unaweka ila pia jitahidi maandalizi yako yawe mazuri mfani nyanya karot hoho pilipili mwendokasi inategemeana na kipi unataka kupika
KaribuAhsante sana Mwachiluwi ππ
AkhsanteKaribu
Wow ahsante sana πππHakikisha kitunguu saumu na tangawizi hukosi Kwa ajili ya nyama samaki maini utumbo na ladha Kwa mchuzi
Kuna carry powder mboga zote hata za majani
Mchuzi mix royco kama mpenzi wa hii kitu
Binzary manjano kwenye mchuzi
Simba mbili mboga mchuzi
Pilipili manga iliyosagwa
Soya souc kulainisha nyama na pia hua naweka Kwa mchuzi
Vinegar hii ni kama limao ya maji
Thanks sana dada anguMajani ya giligilian(coriander nafikir kwa kizungu
Kitunguu swaumu
Hoho
Carot
Curry powder
Paprika
Tangawiz
Limao,ndimu
Ahsante sana madam , kuhusu kuoa mda ukifika nitaoa usijali kabisa mimi sio kataa ndoa πNyama.....kitunguu saumu, tangawizi na soy sauce hii combo inaleta ladha nzuri.
Na ukitaka kuinjoy vitunguu, carrot na hoho vikate square uviweke mwisho viive kidogo sana.
Anyway.....oa upikiwe
Thanks πKwa mimi zaidi ya kitunguu, nyanya na garlic π§, mengine yote ni nyongeza tuu