Viungo Wakabaji wa Simba na Yanga kuweni makini na Refa Wa Mchezo wa kesho

Viungo Wakabaji wa Simba na Yanga kuweni makini na Refa Wa Mchezo wa kesho

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mwamuzi wa derby,Amin Omar,amechezesha jumla ya mechi (239),kwenye hizo mechi ametoa kadi za njano (823) ametoa jumla ya kadi nyekundu (47).

Soma, Pia: Waamuzi wa derby wanatoka nje ya nchi, basi kwa mara ya kwanza tutashuhudia matokeo halisi ya derby

Ukijichanganya mbele ya Amin Omar,kadi ni haki yako.
1750753191152.png
 
Kagoma lazima ale umeme kesho kwa uchezaji wake ule
 
Back
Top Bottom