DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Jun 24, 2025 #1 Mwamuzi wa derby,Amin Omar,amechezesha jumla ya mechi (239),kwenye hizo mechi ametoa kadi za njano (823) ametoa jumla ya kadi nyekundu (47). Soma, Pia: Waamuzi wa derby wanatoka nje ya nchi, basi kwa mara ya kwanza tutashuhudia matokeo halisi ya derby Ukijichanganya mbele ya Amin Omar,kadi ni haki yako.
Mwamuzi wa derby,Amin Omar,amechezesha jumla ya mechi (239),kwenye hizo mechi ametoa kadi za njano (823) ametoa jumla ya kadi nyekundu (47). Soma, Pia: Waamuzi wa derby wanatoka nje ya nchi, basi kwa mara ya kwanza tutashuhudia matokeo halisi ya derby Ukijichanganya mbele ya Amin Omar,kadi ni haki yako.
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 4,216 Reaction score 13,608 Jun 24, 2025 #2 Kesho mechi haipo
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,686 Reaction score 46,842 Jun 24, 2025 #3 K11 said: Kesho mechi haipo Click to expand... Yaani Mangungu ajiharibie mipango yake ya kisiasa kisa 5imba
K11 said: Kesho mechi haipo Click to expand... Yaani Mangungu ajiharibie mipango yake ya kisiasa kisa 5imba
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Jun 24, 2025 #4 K11 said: Kesho mechi haipo Click to expand... Mechi ipo vizuri tu
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,032 Jun 24, 2025 #5 Kagoma lazima ale umeme kesho kwa uchezaji wake ule
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 16,074 Reaction score 27,490 Jun 24, 2025 #6 K11 said: Kesho mechi haipo Click to expand... Mnaipeleka wapi?