Viungo wakabaji watano bora zaidi duniani

Kwenye holding midfield kwangu Mimi nampa SCOTT PARKER kama mnamkumbuka huyu mzungu alikuwa noma saana kwenye dimba LA chini akiwa na spurs kama sijakosea.
 
Casemiro da Silva na fabinho hawa ni brazilian player wenye uwezo mkubwa wa kukaba,world cup ya safari hii kama wasipopata majeruhi huenda brazili ikapata mafanikio makubwa na kutwaa taji
 
Huu Uzi ni batili kama hajatajwa Partey after Party.....Thomas Teye Partey
 
List ya wachezeshaji akikosekana Feisal ni chuki binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…