otimbiotimbi
Senior Member
- Dec 12, 2019
- 132
- 230
Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli.
Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.
Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.
Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena.
Kama kuna mdau alishawah kukutana na hii hali ama ana idea na hili tatizo msaada tafadhali.