Vivian Kikii adai hawajashirikishwa msiba wa Mzee wao King Kikii

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
1. Watoto wa mke mkubwa wakiongozwa na mtoto mkubwa Vivian Kikii Wanadai hawajashirikishwa msiba wa Baba yao toka utokee.

2. Ikumbukwe Mzee Kikii alikua na Mke zaidi ya mmoja, ambao Mke mkubwa mtoto mkubwa ndio VIVIAN na Mke mdogo, mtoto maarufu ni JESKA.

RIP King 'Mswati'
BCc: Steve Nyerere - Mratibu wa misiba.
 
Athari za ndoa ya mitala. Kaa mbali nazo, utaacha malumbano na misigano ndani ya damu yako mwenyewe
 
Haya mambo yapo mzee ni kuomba MUNGU yasikutokee hiyo atakua anataka rambi rambi hamna kingine
 

Ni mambo ya kawaida sana hasa katika zama zetu za kukimbizana na mali.

Kama Kikumbi angekuwa si mtu maarufu angewaza kuzikwa bila watoto wengine kujua.

Zama zetu mali ni kila kitu.

Ngongo kwasasa 🇧🇷
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…