Vivian Kikii adai hawajashirikishwa msiba wa Mzee wao King Kikii

Mbona hajalalamika akisema kuwa hakushirikishwa katika Kumuuguza Marehemu Baba yao Kipindi chote alipokuwa akiumwa na badala yake anakuja kulalamika Kutoshirikishwa katika Msiba?

Ndiyo maana GENTAMYCINE nilifurahi mno pale Rais Trump ALIPOTUTUKANA WAAFRIKA siku moja kuwa HATUNA AKILI na nakubaliana nae 100% na mojawapo ya USHAHIDI KUNTU / ULIOTUKUKA kuwa Sisi ni MAZWAZWA ni kama huu wa haya Malalamiko ya KIPUUZI ya huyu Binti wa Marehemu Mzee King Kikii aitwae Vivian.
 
Walisubiri washirikishwe?
 
Duh hii habari imenipita, huyu mzee ni yule aliyeimba Seya au Kitambaa cheupe maana wananichanganya sana
 
Vipi tena mbona una hasira ? Mambo ya King Mswati yanatoka wapi tena, au alikumegea Mkeo nini?
 
Huwez kumuita mswati kwa wake wawili tu, mswati ana zaidi ya 30
 
Wanataka washirikishwaje

Si wahudhurie tu msibani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…