Vivianna ndani ya JF!!!!!!!!!!!

Vivianna ndani ya JF!!!!!!!!!!!

Vivianna

Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
23
Reaction score
32
Haya wenyeji habari zenu.

Mie mgeni hapa naomba mnipokee jamani.

Nipeni yanayojiri humu wenzangu, si mnajua kuku mgeni hakosim kamba mguuni.
 
Karibu, kuna kila kitu utachagua mwenyewe unacho taka
 
Haya wenyeji habari zenu.

Mie mgeni hapa naomba mnipokee jamani.

Nipeni yanayojiri humu wenzangu, si mnajua kuku mgeni hakosim kamba mguuni.

Karibu sana JF...
 
Back
Top Bottom