Vivuko vya miguu kwenye njia kuu (highway)

Vivuko vya miguu kwenye njia kuu (highway)

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Kutokana na ongezeko la watu karibu na barabara kuu na ukuaji wa teknologia
Nafikiri ule utaratibu wa kutumia vivuko vya mistari ya pundamilia kwenye barabara kuu unaenda ukipitwa na wakati. Fikiria unaendesha gari barabara kuu ndani ya kilometa 10 unakutana na vivuko 5, ambayo vyote vinakutaka uendeshe kms 50?

Kwa maana hiyo, napendekeza kuanza kujenga vivuko vya juu (simple tu kama vya Nchi za wenzetu) na mikataba mingine mipya ya ujenzi wa Barabara kuu, ijumuishe vivuko vya watembea kwa miguu na sio kuchora mistari. Zebra zibakie kwa yale maeneo ambayo hayana watu wengi lakini pia zisiwe karibu karibu sana
 
Back
Top Bottom