Viwanda hivi vilikufa, vingine ni mali ya wawekezaji wasanii Marais muliopita tuwaambie nini?

Viwanda hivi vilikufa, vingine ni mali ya wawekezaji wasanii Marais muliopita tuwaambie nini?

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,705
Reaction score
4,703
Nimeweka list ya viwanda ninavyoweza kumbuka, ambavyo ilikuwa ni mkombozi wa ajira kwa TZ. Vingi viliajili zaidi ya watu 1000. Mbali na viwanda hivi, kuna mashirika ambayo sikuyaweka. Lakini hii ilikuwa enzi ya Mwalimu.

Marais waliofuata walifanya nini? ni halali leo hii vijana kukosa ajira. Zitoke wapi wakati marais waliofuatia walionesha upeo mdogo?
Viwanda:
1. Polytex –MOROGORO
2. Tanneries –MOROGORO
3. Leather industries –MOROGORO
4. Magunia –MOROGORO
5. Moro-Shoes –MOROGORO
6. Moproco –MOROGORO
7. Morogoro ceramic –MOROGORO
8. Mang’ura machine tools
9. Mutex -MWANZA
10. Mwatex -MWANZA
11. Nyanza glass –MWANZA
12. Tanneries -MWANZA
13. Urafiki –DAR ES SALAAM
14. UFI –DAR ES SALAAM
15. Sunguratexile –DAR ES SALAAM
16. Mbagala glass –DAR ES SALAAM
17. Tanganyika Parkers –DAR ES SALAAM
18. Swala (Baiskeli) –DAR ES SALAAM
19. National Panasonic –DAR ES SALAAM
20. Bora –DAR ES SALAAM
21. Sigara –DAR ES SALAAM
22. Twiga chemical –DAR ES SALAAM
23. Keko pharmacy –DAR ES SALAAM
24. National Milling –DAR ES SALAAM
25. Mbeya textile –MBEYA
26. KIZAKU –MBEYA
27. Magunia –KILIMANJARO
28. Kilimanjaro Machine tools –KILIMANJARO
29. Phillips –ARUSHA
30. General Tyre –ARUSHA
31 Scania – Kibaha PWANI
32. Korosho Kibaha PWANI
33. Ginneries –MWANZA, SHINYANGA, MOROGORO
34.
35.
 
Uko sahihi kabisa. Sera zote wakati ule wa kuruhusu kila bidhaa kuingia nchini, hasa bila kulipia kodi ndio ilikuwa kiama cha viwanda hivi. Kanga ya nje ilikuwa nzuri na bei nafuu kuliko ya viwanda vyetu. Ziliingia bila kulipa kodi sahihi.
Mpaka leo hii nguo mpya kutoka china ina bei nafuu kuliko ya hapa. Kisa ni kodi. Kontena ya nguo ni dola 150,000. Vipi kodi iwe mil 25 tu? Bidhaa kutoka nje hazitozwi kodi ili zishindane na za ndani.
Majembe, sururu, vingeweza kuzalishwa nchini kama utozaji kodi ungekuwa sahihi lakini mpaka leo. Ninavyosema kodi halisi hazitozwi. Tuna chuma chakavu kingi cha kutengeneza bidhaa hizo
Yule yule aliyekuwa anakwepa Kodi kubwa kubwa kabadili jina anajiita Ocean Silent. Na kweli ni silent. Supa silent.
Hakuna kiwanda kitafifuka bila kithibiti utozaji wa kodi kwa bidhaa ziingiazo nchini.
 
Nimeweka list ya viwanda ninavyoweza kumbuka, ambavyo ilikuwa ni mkombozi wa ajira kwa TZ. Vingi viliajili zaidi ya watu 1000. Mbali na viwanda hivi, kuna mashirika ambayo sikuyaweka. Lakini hii ilikuwa enzi ya Mwalimu.

Marais waliofuata walifanya nini? ni halali leo hii vijana kukosa ajira. Zitoke wapi wakati marais waliofuataia walionesha upeo mdogo?
Viwanda:
1. Polytex –MOROGORO
2. Tanneries –MOROGORO
3. Leather industries –MOROGORO
4. Magunia –MOROGORO
5. Moro-Shoes –MOROGORO
6. Moproco –MOROGORO
7. Morogoro ceramic –MOROGORO
8. Mang’ura machine tools
9. Mutex -MWANZA
10. Mwatex -MWANZA
11. Nyanza glass –MWANZA
12. Tanneries -MWANZA
13. Urafiki –DAR ES SALAAM
14. UFI –DAR ES SALAAM
15. Sunguratexile –DAR ES SALAAM
16. Mbagala glass –DAR ES SALAAM
17. Tanganyika Parkers –DAR ES SALAAM
18. Swala (Baiskeli) –DAR ES SALAAM
19. National Panasonic –DAR ES SALAAM
20. Bora –DAR ES SALAAM
21. Sigara –DAR ES SALAAM
22. Twiga chemical –DAR ES SALAAM
23. Keko pharmacy –DAR ES SALAAM
24. National Milling –DAR ES SALAAM
25. Mbeya textile –MBEYA
26. KIZAKU –MBEYA
27. Magunia –KILIMANJARO
28. Kilimanjaro Machine tools –KILIMANJARO
29. Phillips –ARUSHA
30. General Tyre –ARUSHA
31 Scania – Kibaha PWANI
32. Korosho Kibaha PWANI
33. Ginneries –MWANZA, SHINYANGA, MOROGORO
34.
35.
Nyerere (RIP) alifanya kazi kubwa sana. Bahati mbaya alikuwa anaongoza watu wavivu na wezi. Wengine utasikia wanamlaumu eti hakuwa kiongozi mzuri! Hakuna area ya uzalishaji ambayo alikuwa hajaikumbuka. Tena bado kuna vingine haviko kwenye orodha.
 
Nyerere alijenga viwanda vingi sana hakutaka kusifiwa wala kujisifu, Uzi unatupa wasaa wa kumkumbuka sana tena sana.
Raisi Nyerere hakujenga viwanda vyovyote alivirisi kutoka kwa wazungu na vilikuwa vinaendelea kusimamiwa na wazungu, mpaka wazungu walivyoona maslahi yao inapungua wakasepa miaka ya 1970-1978. Ndio walivyopata wabongo Ndio kuanza kuiba mashine na mitambo. Ishu za viwanda ni sensitive issue na sio bongo tuu, waafrika hatuna asili ya kuendesha viwanda vyovyote tusikae kudanganyana ujinga apa
 
Siamini kama Nyerere alirithi viwanda, embu taja hiyo list ya viwanda alivyorithi kwa wazungu. Ina maana hakujenga hata viwanda kadhaa vikubwa miaka yote 24?
 
Raisi Nyerere hakujenga viwanda vyovyote alivirisi kutoka kwa wazungu na vilikuwa vinaendelea kusimamiwa na wazungu, mpaka wazungu walivyoona maslahi yao inapungua wakasepa miaka ya 1970-1978. Ndio walivyopata wabongo Ndio kuanza kuiba mashine na mitambo. Ishu za viwanda ni sensitive issue na sio bongo tuu, waafrika hatuna asili ya kuendesha viwanda vyovyote tusikae kudanganyana ujinga apa
Halafu unaweza kukuta huyu ni mtoto kazaliwa 2002 halafu naye anatoa mawazo yake hapa JF. Mawazo kama hayo bila hata aibu wala soni. Ukiishiwa mshipa wa aibu ni mbaya sana. Kakojoe ulale saa mbaya hii
 
Nyerere alijenga viwanda vingi sana hakutaka kusifiwa wala kujisifu, Uzi unatupa wasaa wa kumkumbuka sana tena sana.
Alafu kuna mtu anasema hakuna kiongozi aliyefanya kazi kama JPM! Hivi kuna baadhi ya watu wanavichaa eh?
Na mwingine anasema eti haoni wa kumwachia kijiti akiondoka maana aliyoyafanya nimakubwa no!!
Watanzania tusiwe wajinga kwa cheap politics, hii ni nchi yetu sote na wote tunapita ila taifa la Tanzania litabaki so tujenge misingi imara kwa miaka mingi ijayo ya taifa letu kijiongoza.
 
Vijana panueni vichwa vyenu! Zama za kusoma kwa ajili ya kuajiriwa viwandani zilishapita! Hizo ni outdated thinking!

It's absolutely irrelevant to the topic....

Kwa kuwa na mawazo haya, maana yake hata hii tunayoambiwa sera ya viwanda ya Rais Magufuli isiwepo basi, au siyo?

Kufikiri au kuandika kuhusu viwanda haina maana kuwa anayewaza ama kuandika hivyo anatafuta AJIRA kwenye viwanda hivyo!!

By the way, whether unataka au hutaki kuwepo kwa viwanda vingi ni lazima viajiri watu na kwa hiyo kuwaza kuajiriwa katika viwanda hivyo wala siyo DHAMBI...!!
 
Uko sahihi kabisa. Sera zote wakati ule wa kuruhusu kila bidhaa kuingia nchini, hasa bila kulipia kodi ndio ilikuwa kiama cha viwanda hivi. Kanga ya nje ilikuwa nzuri na bei nafuu kuliko ya viwanda vyetu. Ziliingia bila kulipa kodi sahihi.
Mpaka leo hii nguo mpya kutoka china ina bei nafuu kuliko ya hapa. Kisa ni kodi. Kontena ya nguo ni dola 150,000. Vipi kodi iwe mil 25 tu? Bidhaa kutoka nje hazitozwi kodi ili zishindane na za ndani.
Majembe, sururu, vingeweza kuzalishwa nchini kama utozaji kodi ungekuwa sahihi lakini mpaka leo. Ninavyosema kodi halisi hazitozwi. Tuna chuma chakavu kingi cha kutengeneza bidhaa hizo
Yule yule aliyekuwa anakwepa Kodi kubwa kubwa kabadili jina anajiita Ocean Silent. Na kweli ni silent. Supa silent.
Hakuna kiwanda kitafifuka bila kithibiti utozaji wa kodi kwa bidhaa ziingiazo nchini.
Kuna wakati utajiuliza kwanini bidhaa zinazozalishwa hapa nchini ziwe ghali zaidi ili hali machine ni hizo hizo,Mali ghafi hizo hizo,labour hiyohiyo ,storage,distribution,promotion sawa ,ni mini sasa?, Yaweza kuwa to inflate gharama za uzalishaji au kuna over charging na kodi juu ya kodi, fikiria kiwanda kinalipa kodi likija suala maji na umeme wanatakiwa kulipa gharama kubwa Mara NNE ya gharama ya chini ya huduma hizo, hebu fikiria mwenye kiwanda alipe kodi ya ardhi na alipe pia kodi ya majengo,alipe leseni,kodi ya mapato,kodi ya huduma,na shuru za taasisi kibao za uangalizi,alipe mishahara iliyopangwa na so inayotokana na uzalishaji na soko.kunahitajika bado utafi was gharama za uzalishaji na uwianishaji was kodi kwenye viwanda na biashara ili kuwa na viwanda na biashara endelevu.
 
Raisi Nyerere hakujenga viwanda vyovyote alivirisi kutoka kwa wazungu na vilikuwa vinaendelea kusimamiwa na wazungu, mpaka wazungu walivyoona maslahi yao inapungua wakasepa miaka ya 1970-1978. Ndio walivyopata wabongo Ndio kuanza kuiba mashine na mitambo. Ishu za viwanda ni sensitive issue na sio bongo tuu, waafrika hatuna asili ya kuendesha viwanda vyovyote tusikae kudanganyana ujinga apa
Kijana hiyo bangi unayovuta itawaathiri hata wajukuu zako.... Kiwanda Cha karatasi mgololo alirithi kwa Babu yako?
 
Nyerere (RIP) alifanya kazi kubwa sana. Bahati mbaya alikuwa anaongoza watu wavivu na wezi. Wengine utasikia wanamlaumu eti hakuwa kiongozi mzuri! Hakuna area ya uzalishaji ambayo alikuwa hajaikumbuka. Tena bado kuna vingine haviko kwenye orodha.
Aliongoza watu walikuwa wanatafuta Uhuru mwingine Kwa Udi na UVUMBA maana alijua ili iwe rais lazima utaifa Kwanza wakauwa Kwa ajili ya kuondoa aibu ya usafiri wa barabara saizi viwanda siyo ishu maana kuna mfano wa taasisi za serika

Private sector ni either Hela au Maamuzi tukijua hapo Tu elimu itatusaidia kufufua viwanda bubu maana bado vipo
 
Back
Top Bottom