Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Cha ajabu bidhaa nyingi sana wanachukulia china, Korea, Vietnam na SingaporeUlaya kuna viwanda vingi sana
Ulaya viwanda vimejaa teleUlaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu
- Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu na kuongeza kodi nyingi
- Kuweka minimum wages
- Kupandisha gharama za umeme na gesi asilia kwa kudhani viwanda wanafaidi sana
Leo hii Europe hawana viwanda bali wamebaki na sheria zao nzuri sana
Viwanda vinahitaji maamuzi ambayo hutakiwi kutumia huruma za kibinadamu mfano
- Kodi zinatakiwa kuwa ndogo sana
- Hakutakiwi kuwe na minimum wages, kwenye viwanda kipaji cha mfanyakazi ndo kitakachomsaidia mshahara kuongezeka na sio kulazimisha alipwe kiwango flani
- Hutakiwi kuwa na regulations kali sana za kulinda mazingira
- Kesi zina-husu viwanda na serikali zinatakiwa ziamuliwe nchi yeyote ile atakayoamua mwenye viwanda sio lazima ndani ya nchi
Wote tunafahamu changamoto kubwa sana inayoikabili nchi yetu ni kuwa na uzalishaji mdogo sana wa ndani yaani bidhaa nyingi sana zinatoka nje ya nchi na pia uwepo wa regulations nyingi sana ambao ni usumbufu na kero kwa wawekezaji wengi wa viwanda
Zifuatazo ni kodi na tozo viwanda vitakavyolipa vikifunguliwa hapa Tanzania
A)- Mwekezaji atalipa baada ya kupita miaka miwili alipoanza uzalishaji
Gharama zifuatazo atakua analipa anapoanza uzalishaji
- Corporate tax 6%
- Vat 4%
- Imported raw materials 5%
Ukishakua na viwanda vingi alafu ghafla ukaanza kuweka huruma za kibinadamu na kuhisi wenye viwanda wanafaidi sana basi fahamu mda sio mrefu viwanda vitakufa ndo kilichowatokea marekani, Europe na nchi za magharibi
- Unit moja ya umeme sh 10
- Domestic Employees income tax 5%
- Foreign Employees income tax 8%
- Manufactured product sold to international market 3%
- Manufactured product sold to domestic 2%
Hata Tanzania pamoja na kuwa nchi ya kilimo lakini ngano, sukari na mafuta vinaagizwa kutoka nje.Cha ajabu bidhaa nyingi sana wanachukulia china, Korea, Vietnam na Singapore
Nimekuambia bidhaa nyingi zinazalishiwa china kule kumejaa ofisi ila manufacturing wame-outsource China, Vietnam, Korea na SingaporeUlaya viwanda vimejaa tele
Hiko kinaitwa kilimo kisichokuwa na malengo na msaada kwa nchiHata Tanzania pamoja na kuwa nchi ya kilimo lakini ngano, sukari na mafuta vinaagizwa kutoka nje.
Ulaya yenyewe kuna viwanda vimejaa vinatengeneza bidhaa na wana exportNimekuambia bidhaa nyingi zinazalishiwa china kule kumejaa ofisi ila manufacturing wame-outsource China, Vietnam, Korea na Singapore
Uzi sio mbaya ila hapo kwenye kulinda mazingira umezingua sana Ndugu Rais. Sheria zisipokuwa kali si ndo watatiririsha sumu kwenye mifereji na mito? Sheria za kulinda mazingira zinatakiwa ziwe kali zaidi.[*]Hutakiwi kuwa na regulations kali sana za kulinda mazingira
Nani amekuambia kilimo hakina msaada kwenye nchi??Hiko kinaitwa kilimo kisichokuwa na malengo na msaada kwa nchi
Kilimo cha Tanzania ni subsistence farming kwa asilimia kubwa sasa kinawezaje kuwa na msaada kwa nchi hatuna kilimo kikubwa cha ma-estate na cha umwagiliajiNani amekuambia kilimo hakina msaada kwenye nchi??
Ulaya kuna viwanda vingi sana
Siemens
ASML
Magari: Volkswagen AG, Stellantis NV, Mercedes-Benz Group AG, Bayerische Motoren Werke AG, and Renault SA, Volvo, Land Rover
Dawa: Novartis, Roche, Sanofi, AstraZeneca, GSK, Bayer, BASF, INEOS
Viwanda vitakuwa na zoning zake tofauti na sasa hiviUzi sio mbaya ila hapo kwenye kulinda mazingira umezingua sana Ndugu Rais. Sheria zisipokuwa kali si ndo watatiririsha sumu kwenye mifereji na mito? Sheria za kulinda mazingira zinatakiwa ziwe kali zaidi.
Nchi ipo katika umaskini haiwezi kujitegemea alafu unasema viwanda visiwepoBora visiwepo. Viwanda vya hivyo vitafaidisha wachache huku wengi wakiishi duni kuliko watumwa. Maghorofa yatajengwa na serikali itakuwa na Hela ila majority ya wananchi wakiishi hivyo kwenye mazingira yaliyochafuliwa.
Nchi ipo katika umaskini haiwezi kujitegemea alafu unasema viwanda visiwepo
Viwanda vya nchi nzima ya Russia havifikii viwanda vya jimbo moja la California.Viwanda vya nchi zote za ulaya ukivijumlisha. Havifikii hata nusu ya idadi ya viwanda vya nchi moja tu ya china