Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Uongozi mbovu, uwekezaji wa kilimo ni mdogo sana Tanzania wakati Watanzania wapo wengi hawana cha kufanyaHata Tanzania pamoja na kuwa nchi ya kilimo lakini ngano, sukari na mafuta vinaagizwa kutoka nje.
Ili uchumi wetu ukue lazima kuwe na watu wengi wanaofanya kazi, hiki kitu kinaweza kufanikishwa na viongozi bora wasio watekaji na wauaji na wenye uzalendo kwa taifa