Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,586
Anadhani Ulaya hakuna viwandaUlaya kuna viwanda vingi sana
Siemens
ASML
Magari: Volkswagen AG, Stellantis NV, Mercedes-Benz Group AG, Bayerische Motoren Werke AG, and Renault SA, Volvo, Land Rover
Dawa: Novartis, Roche, Sanofi, AstraZeneca, GSK, Bayer, BASF, INEOS
Hizi takwimu mnazipata wapiViwanda vya nchi nzima ya Russia havifikii viwanda vya jimbo moja la California.
Viwanda vya nchi nzima ya Russia havifikii viwanda vya jimbo moja la California.
Huna point, Nchi zote za Ulaya kwa pamoja ni karibia sawa na China kwa ukubwa na zinazidiwa na China kwa rasilimaliJe Russia ndio China niliyoitaja?
Na je California ipo Ulaya ?
Huna point, Nchi zote za Ulaya kwa pamoja ni karibia sawa na China kwa ukubwa na zinazidiwa na China kwa rasilimali
Mnakosa point ya hoja yake au mnaamua tu kuonekana mnaakili kumzidi.Anadhani Ulaya hakuna viwanda
Hapa hana point, hakuna mzungu wa Ulaya anayetaka kufanya kazi tena kwenye mazingira ya viwanda kama vya China.Mnakosa point ya hoja yake au mnaamua tu kuonekana mnaakili kumzidi.
PamojaMheshimiwa Rais unakura yangu 2030...
Usinisahahu kwenye baraza lako la mawaziri tujenge nchi na kuila kidogo.
Ni kweli ulaya kuna utaratibu mzuri saana/au tuite sheria za kuwalinda wafanyakazi kuliko mahali popote duniani. Nilifanya kazi na waamerika walishangaa jinsi wafanyakazi wana haki ulaya tofauti na kwao. Wakatolea mfano paid leaves ni kizungumkuti kwao.....kuskia phrases like I will fire you ni kawaida saana tofauti na Ulaya...Hapa hana point, hakuna mzungu wa Ulaya anayetaka kufanya kazi tena kwenye mazingira ya viwanda kama vya China.
Kaka ulaya wanafanya wanafanya innovation tu kwasasa lakini viwanda vyao vingi vipo china, taiwan, india, tiland, vietnam wao wamebaki kubuni bidhaa tu arafu inaenda kuzalishwa kwenye mataifa mengine ambako ndiko wametega viwanda vyao mfano bidhaa kama Iphone ni ya wamalekani lakin kiwanda chake kipo china na korea levis jeans moja kati ya viwanda vyao kipo pale ubongo Dar es saalam saizii ulaya kwa asilimia kubwa wao wamebaki kubuni bidhaa tu lkn viwanda wanainstal kwenye nchi nyinginezoUlaya yenyewe kuna viwanda vimejaa vinatengeneza bidhaa na wana export
Ndo maana hawana tena uchumi wa viwanda nchi kama Uingereza hawana hata smelter tano za chuma ni aibuHapa hana point, hakuna mzungu wa Ulaya anayetaka kufanya kazi tena kwenye mazingira ya viwanda kama vya China.
Umeongea sahii viwanda haviitaji viwekewe vizingiti vingi vinaondoka- watu wengi hawawezi elewa ila wachache kama wewe ndo wataelewaNi kweli ulaya kuna utaratibu mzuri saana/au tuite sheria za kuwalinda wafanyakazi kuliko mahali popote duniani. Nilifanya kazi na waamerika walishangaa jinsi wafanyakazi wana haki ulaya tofauti na kwao. Wakatolea mfano paid leaves ni kizungumkuti kwao.....kuskia phrases like I will fire you ni kawaida saana tofauti na Ulaya...
Nirudi kwenye hoja ya uzi..... Ulaya kuna viwanda vingi ila toka kukua kwa uzalishaji wa China na America kuna msamiati umekuwa ukitumika ulaya "FACTORIES EXODUS" vingi vimekuwa vikifunga au kupunguza uzalishaji kutokana na ongezeko wa bidhaa kutoka nchi hasa za Asia.
Mfano mdogo TOYOTA anauza vizuri zaidi ya BMW....bidhaa ngapi hatujaongelea.
Ni kweli viwanda vingi Tanzania wanalipwa kidogo ila wale wenye ujuzi wa ziada wananganganiwa kama lulu na wanalipwa maslai mazuri kwa sababu ni faida kwa kiwanda hata wakitaka kuacha kazi wananganganiwa kama luluViwanda vichache vilivyopo nchini bado wananchi wanakandamizwa kwenye malipo.
Yaani kazi Tembo posho Sungura.
Uchumi wa Uingereza ni wa nini?? Kwa nini wahamiaji hadi Wachina wanakimbilia kujazana Uingereza ?Ndo maana hawana tena uchumi wa viwanda nchi kama Uingereza hawana hata smelter tano za chuma ni aibu
Ukishaona jamii watu wanapenda kuishi kwenye comfort zone basi uaribifu uko mlangoni
Binafsi ninaamini uzalishaji ndio utakaotutoa hapa tulipo.Umeongea sahii viwanda haviitaji viwekewe vizingiti vingi vinaondoka- watu wengi hawawezi elewa ila wachache kama wewe ndo wataelewa
Ni kweli viwanda vingi Tanzania wanalipwa kidogo ila wale wenye ujuzi wa ziada wananganganiwa kama lulu hata wakitaka kuacha kazi wananganganiwa kama lulu
Lazima tuwe na uchumi ambao thamani ya mtu lazima iendane na ujuzi wa kipekee alio-nao hii itaongeza ubunifu na sio watu kutaka kukaa kwenye comfort zone
Ulaya walishavuka stage ya kuwa na viwanda vichafu na vya kutumia nguvu za binadamu zaidi.Ni kweli ulaya kuna utaratibu mzuri saana/au tuite sheria za kuwalinda wafanyakazi kuliko mahali popote duniani. Nilifanya kazi na waamerika walishangaa jinsi wafanyakazi wana haki ulaya tofauti na kwao. Wakatolea mfano paid leaves ni kizungumkuti kwao.....kuskia phrases like I will fire you ni kawaida saana tofauti na Ulaya...
Nirudi kwenye hoja ya uzi..... Ulaya kuna viwanda vingi ila toka kukua kwa uzalishaji wa China na America kuna msamiati umekuwa ukitumika ulaya "FACTORIES EXODUS" vingi vimekuwa vikifunga au kupunguza uzalishaji kutokana na ongezeko wa bidhaa kutoka nchi hasa za Asia.
Mfano mdogo TOYOTA anauza vizuri zaidi ya BMW....bidhaa ngapi hatujaongelea.
Multiplier effects ya viwanda huwaga ni kubwa sana changamoto viongozi hawaoniBinafsi ninaamini uzalishaji ndio utakaotutoa hapa tulipo.
Hizi zingine ni blah blah za wanasiasa kujitafutia ulaji. Unfortunately, sioni kiongozi yeyote mwenye haya maono...
Sasa mbona ulaya bidhaa nyingi wame-outsource chinaUlawa walishavuka stage ya kuwa na viwanda vichafu na vya kutumia nguvu za binadamu zaidi.
Ulaya haihitaji sweatshops tena kama za China au ambazo mnataka Africa, wanaweza kufanya mambo mengine yanaoyendana na hali yao ya juu ya kimaisha hukuwa wakiwa na viwanda muhimu tu kama hivyo vya ulinzi, usafiri, madawa, electronics n.k halafu wakaendelea kujiimarisha kama Financial centre ya dunia na innovations.