Uongozi mbovu, uwekezaji wa kilimo ni mdogo sana Tanzania wakati Watanzania wapo wengi hawana cha kufanyaHata Tanzania pamoja na kuwa nchi ya kilimo lakini ngano, sukari na mafuta vinaagizwa kutoka nje.
Mbona umekomalia sana ku outsource China? Kuna tatizo gani waki outsource China hata kama ingekuwa kweli ndio hivyo? ( Japo ni uongo, Ulaya haija outsource viwanda China bali imefanya restructuring tu kutoka kuzalisha bidhaa za bei rahisi kama machuma, nguo, furniture n,k na kuhamia kuzalisha bidhaa za teknolojia ya hali juu na huduma)Sasa mbona ulaya bidhaa nyingi wame-outsource china
Na kwa sababu hiyo ujeruman akikaa vibaya anapitwa na california sababu anamuwashia indicator hapo nyuma kumbuka ujerumani ndo nchi yenye uchumi mkubwa ulaya
Ulaya uzalishaji wa viwandani umeshuka sana
Kama unaviwanda kwanini una-outsource chinaMbona umekomalia sana ku outsource China? Kuna tatizo gani waki outsource China hata kama ingekuwa kweli ndio hivyo? ( Japo ni uongo, Ulaya haija outsource viwanda China bali imefanya restructuring tu kutoka kuzalisha bidhaa za bei rahisi kama machuma, nguo, furniture n,k na kuhamia kuzalisha bidhaa za teknolojia ya hali juu na huduma)
Trump ni mjinga tu kama wajinga wengine halafu Marekani sio sawa na Ulaya. Kiongozi aina ya Trump ni nadra sana kuchaguliwa Ulaya, halafu naona unaandika confusions tu.Kama unaviwanda kwanini una-outsource china
Unajua trump ameweka tarrif nyingi lengo ni bidhaa nyingi sana kuzalishwa marekani na sio sehemu nyingine sababu makampuni mengi ya marekani yana-outsource
Unasemaje bidhaa za technology rahisi ilihali China ni dominant kwenye kuzalisha hizi bidhaa haijalishi unazalisha nini hapa dunia lazima utumie hizo bidhaa hapo chini raw material nazo ni
Chuma
Aluminium
Copper
Rear earth
Glass
Petrochemical
MIMI NIKIWA RAIS WA TANZANIA MSISITIZO UTAKUWA KWENYE SMELTER NA REFINING ZA
STEEL
ALUMINIUM
COPPER
GLASS
PETROCHEMICAL
REAR EARTH
PCB
SILICONE
Katika top 100 ya kampuni kubwa duniani kwanini kampuni za ulaya ni chache sana ulishawahi jiuliza kwanini???Trump ni mjinga tu kama wajinga wengine halafu Marekani sio sawa na Ulaya. Kiongozi aina ya Trump ni nadra sana kuchaguliwa Ulaya, halafu naona unaandika confusions tu.