Hopeless ideaNdio, Viwanda Vikubwa 4 vya magari vinajengwa Mombasa Kenya
Kiwanda cha Nguo Kenya
Kwa nini?
Purchasing power ya Wakenya ni kubwa kuliko ya Watanzania....
Tanzania tupambane angalau tupate nauli ya Kupanda Bombadier
Hopeless idea
Duh kweli tunahamu na viwandatukafanikiwa kujenga hata kiwanda cha pipi tutakizindua wiki nzima
Yaani kandege kamoja tena ka mapanga shaa tunajaza serikali yote uwanjani ajabu sana.Ukiona namna tuliivyozindua ile ndage Moja ,utajua safari ilivyo ndefu kwetu kuelekea Uchumi wa kati.
Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwandaNdio, Viwanda Vikubwa 4 vya magari vinajengwa Mombasa Kenya
Kiwanda cha Nguo Kenya
Kwa nini?
Purchasing power ya Wakenya ni kubwa kuliko ya Watanzania....
Tanzania tupambane angalau tupate nauli ya Kupanda Bombadier
Ndio, Viwanda Vikubwa 4 vya magari vinajengwa Mombasa Kenya
Kiwanda cha Nguo Kenya
Kwa nini?
Purchasing power ya Wakenya ni kubwa kuliko ya Watanzania....
Tanzania tupambane angalau tupate nauli ya Kupanda Bombadier
Wakenya wana makabila makubwa mawili Wakikuyu na Wajaluo, wanabaguana sana kwenye ishu za jamii, kiuchumi na mengine mengi but when it cames to National matters wanasimama pamoja kwa ajili ya kulinda maslahi ya wakenya, sisi watanzania siasa inatumaliza, we took political in every thing.. Tumeifanya siasa ndo kila kitu kwa ushabiki mkubwa zaidi ya aa simba na Yanga.. Madudu mengi yanafanyika serikalini ila hawajali sababu wanajua they gat back up.. Unakuta mtu msomi, unakuta mtu smart I know if he/she is real smart anashabikia au anatetea kwa nguvu zote.. Hatoi hoja za maana zaid utasikia anasema tushawazoe nyinyi watu wa chama fulani.. Kwa mwendo huu we have long way to go..
Mkuu, tume na polisi wacha viwe vyao tatizo si hivyo vitu na havijawahi kuwa tatizo kwa wananchi wanaojielewa, tunakosa uelewa wa haki zetu, mtu anajengewa barabara au hospitali anathubutu kabisa kusema kwa nidhamu yote kwamba anaishukuru serikali bila kujua kwamba ni haki yake, tunakosa kujua mipaka na utendaji wa Dora.. Siku tukijitambua na kusimama kama watanzania no body will dare Hata hao polis hawatokubali kutumika na Dora itaogopa.. Tumekuwa watu wa kulalamika kwenye vijiwe na social network siku tukibadirika na kutenda kwa vitendo hakuna ambaye atafanya ujinga wowote.Na wanafanya upumbavu kwa kujiamini maana wanajua Tume ni yao na Polisi ni yao
Kushinda uchaguzi ni Lazima
nasubiri wafungue mipaka kwa sekta zote EAC; kilimo na ufugaji nk dadeki watu TZ watalia...eti TZ ya viwanda maweeeNdio, Viwanda Vikubwa 4 vya magari vinajengwa Mombasa Kenya
Kiwanda cha Nguo Kenya
Kwa nini?
Purchasing power ya Wakenya ni kubwa kuliko ya Watanzania....
Tanzania tupambane angalau tupate nauli ya Kupanda Bombadier
nasubiri wafungue mipaka kwa sekta zote EAC; kilimo na ufugaji nk dadeki watu TZ watalia...eti TZ ya viwanda maweee