Viwanda Kenya...Tanzania Bombadier

Viwanda Kenya...Tanzania Bombadier

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,957
Reaction score
3,245
Ndio, Viwanda Vikubwa 4 vya magari vinajengwa Mombasa Kenya

Kiwanda cha Nguo Kenya

Kwa nini?

Purchasing power ya Wakenya ni kubwa kuliko ya Watanzania....

Tanzania tupambane angalau tupate nauli ya Kupanda Bombadier
 
Ukiona namna tuliivyozindua ile ndage Moja ,utajua safari ilivyo ndefu kwetu kuelekea Uchumi wa kati.
 
Ndio, Viwanda Vikubwa 4 vya magari vinajengwa Mombasa Kenya

Kiwanda cha Nguo Kenya

Kwa nini?

Purchasing power ya Wakenya ni kubwa kuliko ya Watanzania....

Tanzania tupambane angalau tupate nauli ya Kupanda Bombadier

Wakenya hawawezi kushindana na sisi,tumewaacha mbali mno.Tumeambiwa Solon ni viwanda,tuna mamilioni ya salon nchini sasa Wakenya watatupata wapi?

Tuliambiwa pia kila mwenye mashine ya kusaga juisi nyumbani(blenda)ajuwe anamiliki kiwanda,piga hesabu tuna familia ngapi zenye viwanda hivi?

Masikini nchi yangu!Mh.Waziri wa viwanda alisema cherehani 4 ni kiwanda!
 
Wakenya wana makabila makubwa mawili Wakikuyu na Wajaluo, wanabaguana sana kwenye ishu za jamii, kiuchumi na mengine mengi but when it cames to National matters wanasimama pamoja kwa ajili ya kulinda maslahi ya wakenya, sisi watanzania siasa inatumaliza, we took political in every thing.. Tumeifanya siasa ndo kila kitu kwa ushabiki mkubwa zaidi ya aa simba na Yanga.. Madudu mengi yanafanyika serikalini ila hawajali sababu wanajua they gat back up.. Unakuta mtu msomi, unakuta mtu smart I know if he/she is real smart anashabikia au anatetea kwa nguvu zote.. Hatoi hoja za maana zaid utasikia anasema tushawazoe nyinyi watu wa chama fulani.. Kwa mwendo huu we have long way to go..
 
Magufuri ateue waziri wa viwanda na biashara anayejielewa (ayeijua biashara vizuri), alafu watengeneze mazingiza ya kuvutia (tena ya kudumu) kwa wawekezaji na kama hiyo haitoshi waziri atoke nje akawabembeleze wawekezaji waje kuwekeza mitaji yao nchini. Mtu hawezi kuja kuwekeza mabilioni ya pesa zake kama nchi yenyewe inaona wawekezaji ni maadui na wezi alafu sheria na sera vinabadilishwa kiajabu ajabu kila kukicha.
 
Wakenya wana makabila makubwa mawili Wakikuyu na Wajaluo, wanabaguana sana kwenye ishu za jamii, kiuchumi na mengine mengi but when it cames to National matters wanasimama pamoja kwa ajili ya kulinda maslahi ya wakenya, sisi watanzania siasa inatumaliza, we took political in every thing.. Tumeifanya siasa ndo kila kitu kwa ushabiki mkubwa zaidi ya aa simba na Yanga.. Madudu mengi yanafanyika serikalini ila hawajali sababu wanajua they gat back up.. Unakuta mtu msomi, unakuta mtu smart I know if he/she is real smart anashabikia au anatetea kwa nguvu zote.. Hatoi hoja za maana zaid utasikia anasema tushawazoe nyinyi watu wa chama fulani.. Kwa mwendo huu we have long way to go..

Na wanafanya upumbavu kwa kujiamini maana wanajua Tume ni yao na Polisi ni yao

Kushinda uchaguzi ni Lazima
 
Na wanafanya upumbavu kwa kujiamini maana wanajua Tume ni yao na Polisi ni yao

Kushinda uchaguzi ni Lazima
Mkuu, tume na polisi wacha viwe vyao tatizo si hivyo vitu na havijawahi kuwa tatizo kwa wananchi wanaojielewa, tunakosa uelewa wa haki zetu, mtu anajengewa barabara au hospitali anathubutu kabisa kusema kwa nidhamu yote kwamba anaishukuru serikali bila kujua kwamba ni haki yake, tunakosa kujua mipaka na utendaji wa Dora.. Siku tukijitambua na kusimama kama watanzania no body will dare Hata hao polis hawatokubali kutumika na Dora itaogopa.. Tumekuwa watu wa kulalamika kwenye vijiwe na social network siku tukibadirika na kutenda kwa vitendo hakuna ambaye atafanya ujinga wowote.
 
Ndio, Viwanda Vikubwa 4 vya magari vinajengwa Mombasa Kenya

Kiwanda cha Nguo Kenya

Kwa nini?

Purchasing power ya Wakenya ni kubwa kuliko ya Watanzania....

Tanzania tupambane angalau tupate nauli ya Kupanda Bombadier
nasubiri wafungue mipaka kwa sekta zote EAC; kilimo na ufugaji nk dadeki watu TZ watalia...eti TZ ya viwanda maweee
 
nasubiri wafungue mipaka kwa sekta zote EAC; kilimo na ufugaji nk dadeki watu TZ watalia...eti TZ ya viwanda maweee

Haha haa..Viwanda vya manunuzi ya madiwani

Viwanda vya kufungia blogs, Whaat!
 
Kuna ueliwo mdogo sana wa viwanda Tanzania inataka na viwanda vinavyo funguliwa Kenya.
 
Kenya viwanda vya magari.
Tanzania charahani ni kiwanda.
 
Back
Top Bottom