Viwanda tengenezeni pampasi za watu wazima maalumu tukiwa safarini, wagonjwa na wazee

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Tunaviomba viwanda vizalishe pampasi za watu wazima maalumu kwa wenye matatizo ya tumbo tuwapo safarini, wagonjwa na watu wazima sana (wazee) ila ka asilimia kumi kaingie ktk akaunti yangu.

Asante.
 
'Adult diapers' mbona ziko madukani muda mrefu sana, ni wewe kwenda kununua tu

10% yaelekea utaisikia kwenye bomba😅
 
Tunaviomba viwanda vizalishe pampasi za watu wazima maalumu kwa wenye matatizo ya tumbo tuwapo safarini, wagonjwa na watu wazima sana (wazee) ila ka asilimia kumi kaingie ktk akaunti yangu.

Asante.
Huko kwenu hujawahi kuziona? Njoo nikuuzie
 
Zipo nyingi tu madukani au haujawahi kuuguza mgonjwa wa ngoma
 
Discomfort ya safari sababu ya mzigo nadhani zinafaa kwa wagonjwa ila jitu zima ni kero..uwe unatoka zako Dar unaenda Mwanza kufika maeneo Gairo unaachia kubwa,[emoji56][emoji56]so utembee nayo hadi Mwanza??Nnyaa[emoji2][emoji1][emoji1] not to that extent??
 
Back
Top Bottom