katib mkoa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,574
- 2,161
nawaza hapa mtoa mada🤣🤣🤣 hali iliokukuta safarini mpaka umeamua kuanzishia uzi🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawaza hapa mtoa mada🤣🤣🤣 hali iliokukuta safarini mpaka umeamua kuanzishia uzi🤣🤣🤣🤣
Hamna madukani?Tunaviomba viwanda vizalishe pampasi za watu wazima maalumu kwa wenye matatizo ya tumbo tuwapo safarini, wagonjwa na watu wazima sana (wazee) ila ka asilimia kumi kaingie ktk akaunti yangu.
Asante.
Labda kwa wenye uelewa finyu,lakini kwa waliokumbwa na mazingira ya kuwahudumia wazee na wagonjwa, hawatakuwa na shaka na mchangiaji yeyote.Uzi huu ukijifanya mchangiaji mjuaji utaambiwa hauna marinda.
Subirini.