Viwanda tengenezeni pampasi za watu wazima maalumu tukiwa safarini, wagonjwa na wazee

Viwanda tengenezeni pampasi za watu wazima maalumu tukiwa safarini, wagonjwa na wazee

Tumbo likiharibika safarini weka bandeji na plasta kwenye kundu hapo utakuwa umewasaidia abiria wenzako kutokunusa harufu ya kinyesi.
Mambo ya pampasi waachiwe wagonjwa mahututi sio abiria.
 
Tunaviomba viwanda vizalishe pampasi za watu wazima maalumu kwa wenye matatizo ya tumbo tuwapo safarini, wagonjwa na watu wazima sana (wazee) ila ka asilimia kumi kaingie ktk akaunti yangu.

Asante.
Hamna madukani?
 
Uzi huu ukijifanya mchangiaji mjuaji utaambiwa hauna marinda.
Subirini.
Labda kwa wenye uelewa finyu,lakini kwa waliokumbwa na mazingira ya kuwahudumia wazee na wagonjwa, hawatakuwa na shaka na mchangiaji yeyote.
 
Back
Top Bottom