FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
'Adult diapers' mbona ziko madukani muda mrefu sana, ni wewe kwenda kununua tuTunaviomba viwanda vizalishe pampasi za watu wazima maalumu kwa wenye matatizo ya tumbo tuwapo safarini, wagonjwa na watu wazima sana (wazee) ila ka asilimia kumi kaingie ktk akaunti yangu.
Asante.
......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uzi huu ukijifanya mchangiaji mjuaji utaambiwa hauna marinda.
Subirini.
hahahahahaha,,,, noma sanaUzi huu ukijifanya mchangiaji mjuaji utaambiwa hauna marinda.
Subirini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noma Sana hiyoDah, Kwamba tumbo likivurugika unaachia tu mzigo unaendelea na safari umeukalia mzigo..
Huko kwenu hujawahi kuziona? Njoo nikuuzieTunaviomba viwanda vizalishe pampasi za watu wazima maalumu kwa wenye matatizo ya tumbo tuwapo safarini, wagonjwa na watu wazima sana (wazee) ila ka asilimia kumi kaingie ktk akaunti yangu.
Asante.
CC monde arabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]noma Sana hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzi huu ukijifanya mchangiaji mjuaji utaambiwa hauna marinda.
Subirini.
Nnya ya mtu mzima inavyonuka sidhani kama patakalika hapoDah, Kwamba tumbo likivurugika unaachia tu mzigo unaendelea na safari umeukalia mzigo..