Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
Changamoto za maendeleo na uwek3zaji wa viwanda.......safari bado ndefu sanaaaaMimi ni mkazi wa Kibaha-Zogowale, eneo ninaloishi limezungukwa na viwanda. Hivi karibuni kumeibuka shida kubwa ya uchafuzi wa hali ya hewa wakati wa usiku. Kuna harufu kali sana inachafua hewa wakati wa usiku, nina uhakika harufu hii si salama kwa afya ya binadamu.
Viwanda ni chachu ya maendelo ya taifa, ila serikali inatakiwa kuangalia ni namna gani maendeleo ya viwanda hayaleti madhara makubwa ya afya kwa raia wake.
NEMC na taasisi zingine za serikali zenye mamlaka ya kufuatilia kero hii njoeni Kibaha muangalie namna ya kutatua changamoto hii, KWANI KIBAHA PAMEKUWA SI MAHALI SALAMA KUISHI.
Viongozi wa serikali ya mtaa hata sijui wanafanya kazi gani!?Changamoto za maendeleo na uwek3zaji wa viwanda.......safari bado ndefu sanaaaa
Njaaaa sanaaa .....serikali mtaa njaa sanaa sio kosa lao.....Viongozi wa serikali ya mtaa hata sijui wanafanya kazi gani!?
Tunateseka sana mkongwe, hiyo harufu ikianza usingizi unakata ghafla.
Mtaa mzima unanuka, harufu inaenda hadi kwenye koo inakereketa.
Inabidi mtaa mzima tuhame.Ishi angalau 2km kutoka kiwanda kilipo.
Nyie ndio mlikifuata kiwanda au kiwanda kilikuja kikawakuta??Viongozi wa serikali ya mtaa hata sijui wanafanya kazi gani!?
Tunateseka sana mkongwe, hiyo harufu ikianza usingizi unakata ghafla.
Mtaa mzima unanuka, harufu inaenda hadi kwenye koo inakereketa.
Kwa nini serikali haiweki mipango miji kutenganisha maeneo ya viwanda vya uchakataji bidhaa ngumu na kemali mbali na makazi ya watu?Ishi angalau 2km kutoka kiwanda kilipo.
Viwanda vimetukuta mzee.Nyie ndio mlikifuata kiwanda au kiwanda kilikuja kikawakuta??
Inabidi mpambane visogezwe mbali au wawape fidia muondoke.Viwanda vimetukuta mzee.
Vipi mwajuma wako ndala ndefu naye..Sisi huku wakaz wa kimbiji kigamboni tumevamiwa.na malaya yaan hapa lake cement company ikifika.jion n kama tupo uwanja wa fisi kwel maendeleo huja na karaha
NEMC ni wala rushwa wabobevu usitegemee watasaidia.Mimi ni mkazi wa Kibaha-Zogowale, eneo ninaloishi limezungukwa na viwanda. Hivi karibuni kumeibuka shida kubwa ya uchafuzi wa hali ya hewa wakati wa usiku. Kuna harufu kali sana inachafua hewa wakati wa usiku, nina uhakika harufu hii si salama kwa afya ya binadamu.
Viwanda ni chachu ya maendelo ya taifa, ila serikali inatakiwa kuangalia ni namna gani maendeleo ya viwanda hayaleti madhara makubwa ya afya kwa raia wake.
NEMC na taasisi zingine za serikali zenye mamlaka ya kufuatilia kero hii njoeni Kibaha muangalie namna ya kutatua changamoto hii, KWANI KIBAHA PAMEKUWA SI MAHALI SALAMA KUISHI.
Hahaha mm n imam wa msikiti maalim hapa golan kimbijiVipi mwajuma wako ndala ndefu naye..
Nyau wewe
Watu wa mipango miji ndio wanaharibu. Wanaweza ku.pa mtu kibali cha kiwanda EnelIshi angalau 2km kutoka kiwanda kilipo.