HOJA Viwanda vinaongezeka nchini lakini gharama ya bidhaa nayo inazidi kupanda, kwanini?

HOJA Viwanda vinaongezeka nchini lakini gharama ya bidhaa nayo inazidi kupanda, kwanini?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Tuulizie kwenye mamlaka zinazohusika, kwa nini kadiri viwanda vinavyozidi kuongezeka, hasa vya vifaa vya ujenzi, gharama za bidhaa zinazidi kupanda?

Viwanda vya saruji kwa sasa vimeongezeka, lakini imefikia mpaka mfuko mmoja kuuzwa kwa Shilingi 25,000. Hivyo hivyo kwa nondo, viwanda vimeongezeka lakini nazo zimezidi kupanda gharama.

Ni ipi hatima ya wananchi wa kipato cha chini ambao wanatamani kutoka kwenye maisha duni ya nyumba za tembe na nyasi?
 
Back
Top Bottom