Njowepo, si nishati tu, yafaa uangalie miundombinu mingine kama barabara, gharama za mali ghafi, uwekezaji mkubwa kwenye mitambo nk...Twiga Cement kwa mfano, miaka mitatu iliyopita waliwekeza $100 milioni kwenye mtambo mpya kupanua uzalishaji wa sementi...TBL waliwekeza kwa namna hiyo kuongeza uzalishaji wa bia, kwa hiyo kuna mambo mengi ya kuangalia.