Viwanda vinavyotumia gas dsm kuzalisha bidhaa dsm kulikoni?

Viwanda vinavyotumia gas dsm kuzalisha bidhaa dsm kulikoni?

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
9,710
Reaction score
2,240
Tanzani nakumbuka tuliambiwa tukiwa linked na mkongo/optic fibre gharama za net zingeshuka kwa 50% naona mkongo tunao naona gharama ziko kama kawa though baadhi ya maeneo zimekuwa stagnant hazipandi.


DSM kuna viwanda zaidi ya 20 SBL,TBL ,TWIGA etc wanatumia gas kuzalisha bidhaa zao ila sijawai sikia punguzo la bidhaa zao interms of price matching to some extent the savings on gas usage instead of electricity.
As a result bei za bidhaa zao zinaongezeka!Hii mnakuwa hamuwatendei haki consumers wa bidhaa zenu.


Nawakilisha kwa maoni zaidi
 
Bei ya internet imeshuka tena sana.

Kuhusu wanaotumia gesi sijui kama zimeshuka au kupanda lakini biashara haiendi hivyo, hauwezi kupunguza bei kwa sababu gharama zako zimepungua, biashara always itacharge maximum inayoweza ili mradi kuwe na mteja ambaye yuko teyari kulipia.
 
Driving factor kubwa ya kupanda kwa bei Tz ni energy!
Kama gharama ya energy imeshuka kwa zaidi ya 30% then lazima ahueni iende kwa wateja pia kama mnawajari na hasa ktk soko lenye ushindani.
 
Njowepo, si nishati tu, yafaa uangalie miundombinu mingine kama barabara, gharama za mali ghafi, uwekezaji mkubwa kwenye mitambo nk...Twiga Cement kwa mfano, miaka mitatu iliyopita waliwekeza $100 milioni kwenye mtambo mpya kupanua uzalishaji wa sementi...TBL waliwekeza kwa namna hiyo kuongeza uzalishaji wa bia, kwa hiyo kuna mambo mengi ya kuangalia.
 
Mbalamwezi Twiga hao hao mwezi ulipita wameshusha bei ya bidhaa yake kwa takribani kama 1000 ni baada ya kuona bei yao ni unnecessarily high bse wanatumia gas.
Kuna viwanda wanalipa mpaka million 800,000,000tshs kama bili ya umeme.
Tatizo mtetezi wa watanzania alishakufa but something has to be done apa as kuna bidhaa are unnecessarily high in price.
 
Ushindani una nafasi kubwa sana kwenye kuthibiti upandaji unaozidi wa bei. Hivi kuwa na wazalishaji wengi zaid wa bidhaa itatufaa zaidi.
 
Back
Top Bottom