mbaghato chaka
JF-Expert Member
- Jun 6, 2021
- 521
- 664
Mapopoma kumbe yapo mengi sana humuNote kwamba:, viwanda vitafungwa, uchumi utayumba mfumuko wa bei utakuwa juu maradufu. japo kuwa wanapita ndani ya hiyo changamoto hisiyo dumu bado hawatoacha kuchangia bajeti ya nchi yako.
Bado watakujengea barabara ili uende kijiweni kujadili Simba na yanga, watakujengea vyoo ili usinye mbugani,watakuletea chanjo ili mwanao asipate Dengue, watakuletea Arv Bureee gharama yake ni mwendo wa mguu kwenda Clinic.
Wakati huo Urusi ataendelea kuuza AK 47 kwa boko haram ili kusapoti bajeti.
Sent from my TECNO BC2c using JamiiForums mobile app