Viwanda vipya vingi vinakaribia kuanza uzalishaji, Serikali itoe ushirikiano na kuvilinda

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Posts
16,054
Reaction score
11,568
Kuna viwanda zaidi ya 3000 eneo la kisarawe two soon vitaanza uzalishaji, Vikindu kuna viwanda zaidi ya 1000 vikiwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi, Kibaha kuna viwanda zaidi ya 500 vikiwa hatua ya mwisho ya ujenzi tayari kuanza uzalishaji.

Niwakati sasa kwa serikali kuangalia labor force inayohitajika na kuwajengea vijana wetu utayari wa kuchukua ajira mpya, mfano serikali itoe ruzuku kwa vijana wetu kwenda kujifunza kwa vitendo namna ya uendeshaji wa viwanda hivyo hata waendesha mitambo mafundi na wazalishaji.

Tutunge sheria ya kuwadhibiti wezi, kuna watanzania wenzetu hasa idara za uhasibu marketing logistics na ulinzi kujihusisha na wizi wa mali za mwekezaji wapo Rasilimali Watu(HR) wanaajiri watu wasiokuwa na uwezo kwa kuendekeza rushwa ukabila undugu.

Tutunge sheria mtu akiiba kwa mwajiri liwe ni suala la Serikali kudeal nae sio kumwachia Mchina Mturuki Mzungu, awe mhujumu uchumi.

Tutanue wigo wa tume ya maadili isiishie kudeal na watumishi wa umma ishughulike na watumishi wa sekta binafsi pia, tunaposimamia sheria ya local content tuwasimamie pia wanaonufaika na hiyo sheria isije geuka mzigo kwa mwekezaji

Serikali isogeze huduma maeneo ya viwanda barabara zinazoelekea viwandani ziwekewe lami miundo mbinu ya maji na umeme isogezwe.

Mfano barabara ya kwenda kisarawe two iwekwe lami ni mbovu sana,

Tuwa support hawa wawekezaji waweze ku export bidhaa zao kwa urahisi, na tuwezeshe viwanda kupata malighafi kwa urahisi,
 
Kwenye ivyo viwanda Zaidi y 3000. Naomba kuvijua kwa majina au bizaa wanazo zalisha zisizo zidi 100 tu.
All the best
 
Yaani hao wawekezaji Kwa mserereko wanaoupata bado tena unataka waendelee kurahisishiwa we kweli mwana CCM siku kajaribu kufanya kazi huko kiwandani
 
Back
Top Bottom