Hili haliwezekani kwa ss, kuna viwanda vimepewa mikopo mikubwa ili viongeze uzalishaji kwa ajili ya kuhakikisha nchi inajitegemea kwenye sukari,
Mipango iliyopo ni kuongeza kiwanda kimoja tu cha sukari ili nchi ijitegemee jumla jumla na watu washaanza mchakato wa kujenga kiwanda hicho ili ifikapo 2018 tujitegemee kwa sukari kabisa
Viwanda vya sukari kwa ss vinaunga mkono juhudi za JPM manake kawapa deal kubwa sana la kuboreshewa viwanda vyao na masoko ya uhakika,
Wakifanya mchezo mikopo watarudishaje, na incase zikitolewa leseni mbili za kujenga viwanda vi2, si itakula kwao
Lazima wamuunge mkono JPM hawana jinsi